Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT

Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Davido, wizkid na AKA wavuka mchujo wa kwanza kwenye kipengele cha ‘Best African Act’ tuzo za MOBO 2015

Mwanzoni mwa mwezi Octoba yalitangazwa majina ya wanamuziki wanaowania tuzo za ‘Music Of Black Origin’(MOBO) 2015 za Uingereza. Katika tuzo hizo kipo kipengele kimoja cha wasanii wa Afrika ‘Best African Act’ ambacho kwenye hatua ya mwanzo kilikuwa na nominees 10. Baada ya wiki moja majina hayo yalichujwa kutoka 10 na kubaki watano ambao ndio watakaochuana […]

 

11 years ago

GPL

RED CARPET YA TUZO ZA BET 2014

NeYo akipozi kwenye Red Carpet. Claudia Jordan.…

 

10 years ago

Bongo5

Best African Entertainer: Diamond ambwaga Davido kwenye tuzo za IRAWMA

Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). “It always seems impossible until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya […]

 

10 years ago

Michuzi

Afande Prisca Komba atwaa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania 2014

 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la Jinsia, Inspekta Prisca Komba (pichani), ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania kwa mwaka 2014.  Inspekta Komba, alishinda pia Tuzo ya Mwanamke wa Mwenye Mafanikio katika Sekta ya Umma.
Wengine waliopata tuzo mbalimbali ni pamoja na Debora Mwenda, aliyepata tuzo ya Mwanamke mwenye mafanikio ya maisha, Penina Mlama, alipata tuzo ya Utamaduni na Sanaa, Mary Gitanho, Tuzo ya Ustawi wa Jamii.
...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia  76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA

Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles. Chris Brown akifanya makamuzi wakati wa utoaji tuzo za BET. WASHINDI WA TUZO HIZO NI KAMA IFUATAVYO: Best Female R&B/Pop Artist…

 

10 years ago

Bongo5

Davido awa msanii pekee wa Afrika anayewania tuzo za ‘Soul Train Awards 2014’ Marekani

Staa wa Nigeria Davido ametajwa kuwania kipengele cha ‘Best International Performance’ kupitia hit yake ‘Aye’ kwenye tuzo za ‘Soul Train Awards 2014′ zilizopangwa kutolewa November 7 huko Las Vegas, Marekani na baadae kuoneshwa kupitia Centric na BET November 30. Davido ndiye msanii pekee wa Afrika aliyetajwa kuwania tuzo hizo. Katika kipengele hicho Davido anachuana na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani