Davido awa msanii pekee wa Afrika anayewania tuzo za ‘Soul Train Awards 2014’ Marekani
Staa wa Nigeria Davido ametajwa kuwania kipengele cha ‘Best International Performance’ kupitia hit yake ‘Aye’ kwenye tuzo za ‘Soul Train Awards 2014′ zilizopangwa kutolewa November 7 huko Las Vegas, Marekani na baadae kuoneshwa kupitia Centric na BET November 30. Davido ndiye msanii pekee wa Afrika aliyetajwa kuwania tuzo hizo. Katika kipengele hicho Davido anachuana na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Beyoncé, Chris Brown, Jidenna watajwa kuwania Soul Train Awards 2015 (Orodha kamili)
10 years ago
MichuziMsanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...
11 years ago
GPLTUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Sauti Soul wachukua tuzo ya utanashati Afrika Mashariki
KAMPALA, UGANDA
KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wanazidi kujitengenezea jina baada ya juzi kufanikiwa kuchukua tuzo ya kundi bora la wasanii watanashati Afrika Mashariki.
Tuzo hizo zilitolewa Kampala, nchini Uganda, kwenye ukumbi wa Abryanz Style, ambapo tuzo hizo zilipambwa na wasanii mbalimbali kufanya shoo.
Kundi hilo kwa sasa limekuwa na jina kubwa mara baada ya kuanza kutajwa kwenye tuzo za MTV EMA mwaka 2014, MTV MAMAs na BET, hivyo tuzo hiyo ambayo wameipata...
10 years ago
Bongo524 Feb
Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014
10 years ago
VijimamboDIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE
Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo...
9 years ago
Bongo501 Oct
Wizkid na Davido uso kwa uso kwenye tuzo za MOBO 2015 za Uingereza, hakuna msanii wa Tanzania