Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii Davido kutoka nchini Nigeria kutumbuiza jukwaa moja na msanii T.I kutoka nchini Marekani tamasha la Fiesta 2014.


  Mwanamuziki kutoka nchini Marekani ajulikanae kwa jina la Kisanii T.I akizungumza na Waandishi wa Habari jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa Sea Cliff hotel jijini Dar kuhusiana na onesho lake la kwanza atakalotumbuiza katika viwanja vya leaders Club,jijini Dar katika tamasha la Fiesta 2014,ambalo hufanyika kila mwaka mara moja,chini ya waandaji bingwa wa burudani hapa nchini kampuni ya Prime Time Promotions Lts sambamba na Clouds Media Group.. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Picha za msanii T.I alipowasili nchini tayari kutumbuiza Serengeti Fiesta 2014

1 (8)

Msanii wa kimataifa wa muziki wa Hip pop, Clifford Harris, T I akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa JK Nyerere, tayari kwa onyesho na Serengeti Fiesta 2014, linalofanyika leo Leaders Club jijini Dar es Salaam.

3 (1)

4

 

10 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI RAPPA MAHIRI KUTOKA NCHINI MAREKANI T.I KUSAMBAZA UPENDO NDANI YA TAMASHA LA FIESTA OKTOBA 18,2014 JIJINI DAR

  Mmoja wa Marappa mahiri kutoka nchini  Marekani atambulikae kwa jina la Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaoangusha bonge la shoo la kusambaza upendo kwa wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake,katika onesho la Fiesta 2014 linalotarajiwa kufanyika ndani ya Viwanja vya Leaders Club   jijini Dar es Salaam Oktoba...

 

9 years ago

Michuzi

Linah, Feza Kessy ndani ya jukwaa moja na Davido nchini Nigeria

 Na Mwandishi wetu
Wanamuziki nyota wa bongo fleva nchini, Estelina Peter Sanga maarufu kwa jina la Linah Sanga na Feza Kessy  ijumaa watapanda jukwaa moja na nyota kibao wa Nigeria katika tamasha kubwa la mwaka la muziki lijulikanalo kwa jina la Soundcity Urban Festival.
Tamasha hilo pia litawashirikisha wasanii nyota wa Nigeria kama, Davido, Kiss Daniel, Iyanya na  Olamide. Katika orodha hiyo wapo wasanii nyota wengine kama  Victoria Kimani, Runtown, Sound Sultan, Lil Kesh, Ycee, Sean Tizzle...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msanii wa Marekani T.I. kutumbuiza Serengeti Fiesta Dar

DSC_1441

Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafala ya kumtangaza msanii wa Marekani TI ambaye atashiriki tamasha la Fiesta litakalofanyika mwezi ujao jijini Dar es Salaam.

Mwanamuziki wa Kimarekani katika miondoka ya Hip-hop ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki, mwigizaji na mwekezaji, Clifford Joseph Harris Jr, alimaarufu kama T.I. amethibitishwa rasmi na kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL)kama...

 

9 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini

Vanessa Mdee a.k.a Vee Money anaendelea kupata mashavu ya kimataifa, ambapo hivi sasa ataiwakilisha Bongo katika tamasha la ‘African Music Concert’ 2015 (AMC) linalotarajiwa kufanyika October 24, 2015 Johannesburg, Afrika Kusini. Hit maker wa ‘No Body But Me’ atashare jukwaa na mastaa wengine wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama […]

 

9 years ago

Michuzi

MSANII WA NCHINI KENYA KUTUMBUIZA IJUMAA HII JIJINI DAR

 Msanii wa mziki wa Hip hop wa nchini Kenya ambaye pia ni Daktari nchini humo, Francis Hamis ( a.k.a Frash) akizungumza leo katika mkutano uliofanyika katika ukumbi uliopo katika jengo la VIVA Tower na waandishi wa habari kuhusiana na kutumbuiza kesho Ijumaa ambapo baada ya kutumbuiza atatembelea vituo kadhaa vya watoto yatima hapa jijini Dar es Salaam ataanza na kituo cha Trust youth Care pia mesema kuwa kiingilio kitakuwa ni shilingi elfu 10 kwa kabla ya saa  sita usiku na baada  ya saa...

 

10 years ago

Bongo5

Davido awa msanii pekee wa Afrika anayewania tuzo za ‘Soul Train Awards 2014’ Marekani

Staa wa Nigeria Davido ametajwa kuwania kipengele cha ‘Best International Performance’ kupitia hit yake ‘Aye’ kwenye tuzo za ‘Soul Train Awards 2014′ zilizopangwa kutolewa November 7 huko Las Vegas, Marekani na baadae kuoneshwa kupitia Centric na BET November 30. Davido ndiye msanii pekee wa Afrika aliyetajwa kuwania tuzo hizo. Katika kipengele hicho Davido anachuana na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani