Wizkid na Davido uso kwa uso kwenye tuzo za MOBO 2015 za Uingereza, hakuna msanii wa Tanzania
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mastaa wa Nigeria Wizkid na Davido wamekutanishwa tena kwenye tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) za Uingereza, wakiwania kipengele kimoja cha ‘Best African Act’. Wasanii wengine wanaochuana nao kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG (Ghana), Patoranking (Nigeria), Moelogo, Yemi Alade (Nigeria), Aka (South Africa), Mista Silva, Shatta Wale (Ghana) […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo515 Dec
Video/Picha: Davido na Wizkid wakutana uso kwa uso na kula bata pamoja
9 years ago
Bongo519 Oct
Davido, wizkid na AKA wavuka mchujo wa kwanza kwenye kipengele cha ‘Best African Act’ tuzo za MOBO 2015
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/10377548_761233197231830_1716468337113105179_n.jpg)
Diamond uso kwa uso na Nelly kwenye red carpet ya tuzo za BET nchini Marekani
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava Nasib Abdul almaarufu kama Diamond Platinumz a.k.a Rais wa wasafi leo amepost picha akisalimiana na msanii wa muziki wa kufokafoka wa nchini Marekani Nelly kwenye red carpet wakati wa sherehe za tuzo za BET ambapo ameandika hivi ” Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi… kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi...
9 years ago
Bongo506 Nov
Washindi wa tuzo za MOBO 2015 watangazwa, Si Davido wala Wizkid aliyeshinda kipengele cha Afrika
![Mobo awards](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mobo-awards-300x194.png)
Tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) zimetolewa Jumatano ya Novemba 4 huko Leeds, Uingereza.
Fuse ODG
Wasanii wa Afrika walikuwa wakishindana kwenye kipengele kimoja tu cha ‘Best African Act’ ambapo msanii aliyeibuka kidedea kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG.
Fuse ODG amewashinda Wizkid, Davido, Patoranking, AKA, Yemi Alade, Moelogo, Mista Silva, Shatta Wale na Silvastone ambao walikuwa wakiwania kipengele hicho. Hakukuwa na msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki aliyeingia kwenye...
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Pinda uso kwa uso na msanii kutoka Mkuranga!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na msanii tenzi, nyimbo na mashairi kutoka Mkuranga, Sauda Shaaban ambaye alikwenda Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wake, Adam Malima (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Cecafa yatangaza ratiba ya Cecafa Senior Challenge Cup, Tanzania uso kwa uso na Somalia!
Na Rabi Hume
Shirikisho la soka Afrika Mashariki (CECAFA), limetoa ratiba ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua Novemba 21 nchini Ethiopia.
Mashindano ya mwaka huu yamejumuisha nchi 11 wakiwa wenyeji na moja ikiwa kama mgeni mwalikwa ambayo ni nchi ya Malawi ambayo imeingia katika kundi C ikiwa na nchi zingine za Sudan na Sudan Kusini.
Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza kuchezwa tarehe 21 mwezi huu ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya;
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s72-c/IMG_4507.jpg)
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s1600/IMG_4507.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8H6GfVlCgM/Uz7-cnvggKI/AAAAAAAFYnU/OqrsKaRFM8Q/s1600/IMG_4513.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10