Washindi wa tuzo za MOBO 2015 watangazwa, Si Davido wala Wizkid aliyeshinda kipengele cha Afrika
Tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) zimetolewa Jumatano ya Novemba 4 huko Leeds, Uingereza.
Fuse ODG
Wasanii wa Afrika walikuwa wakishindana kwenye kipengele kimoja tu cha ‘Best African Act’ ambapo msanii aliyeibuka kidedea kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG.
Fuse ODG amewashinda Wizkid, Davido, Patoranking, AKA, Yemi Alade, Moelogo, Mista Silva, Shatta Wale na Silvastone ambao walikuwa wakiwania kipengele hicho. Hakukuwa na msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki aliyeingia kwenye...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Oct
Davido, wizkid na AKA wavuka mchujo wa kwanza kwenye kipengele cha ‘Best African Act’ tuzo za MOBO 2015
9 years ago
Bongo501 Oct
Wizkid na Davido uso kwa uso kwenye tuzo za MOBO 2015 za Uingereza, hakuna msanii wa Tanzania
10 years ago
MichuziWASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WATEMBELEA KIJIJI CHA UTALII WA UTAMADUNI AFRIKA KUSINI CHA LESEDI
9 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
10 years ago
GPLWASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
TBL washindi wa jumla tuzo za RECP Afrika Mashariki
![01](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/0112.jpg)
Waziri wa Nchi wa Mazingira wa Uganda, Flavia Namugere (katikati) akiwakabidhi tuzo ya ushindi wa jumla ya RECP Afrika Mashariki ya usimamizi bora wa matumizi ya maji na nishati kwa Mhandisi wa Huduma za Kiufundi wa Kiwanda cha Mwanza cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Sunday Kidolezi (kushoto), na Mhandisi wa Mitambo wa kiwanda hicho, Erick Ernest ambayo kampuni hiyo ilituzwa katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Entebe, Uganda.
Tanzania Deputy Permanent Secretary for...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhyFQpwENdpBdMYKOxaPB-9kCR5X32Ya2*mrfFh2DC-JQAF-wjjh0hwd7h8gW2ebLSGnwkBnFN0cfDkad7zRx1AB/DIDYNALILKIM.jpg?width=650)
HAWA NDIYO WASHINDI WA TUZO ZA BET 2015
10 years ago
Dewji Blog24 May
Washindi wa tuzo za Watu 2015, hawa hapa!!
Pichani wakati wa tuzo za watu ilivyokuwa baada ya washindi kukabidhiwa tuzo zao..
Na Andrew Chale, Modewji blog
Hatimaye usiku wa Mei 22 Tanzania iliandika historia nyingine kwa kushuhudia utoaji wa tuzo maalum zijulikanazo kama TUZO ZA WATU 2015, zilizofanyika jijini Dar es Salaam.
Washindi hao ni katika vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo ya washindi yaliingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi...
10 years ago
MichuziWASHINDI TUZO ZA HABARI TANAPA WATEMBELEA MAENEO YA KIHISTORIA AFRIKA KUSINI