Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAWA NDIYO WASHINDI WA TUZO ZA BET 2015

Diddy na Lil Kim wakifanya makamuzi katika utoaji tuzo za BET 2015. Janet Jackson akiwa na tuzo yake. Rihanna katika…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za Watu 2015, hawa hapa!!

TIIPichani wakati wa tuzo za watu ilivyokuwa baada ya washindi kukabidhiwa  tuzo zao..

Na Andrew Chale, Modewji blog

Hatimaye usiku wa Mei 22 Tanzania iliandika historia nyingine kwa kushuhudia utoaji wa tuzo maalum zijulikanazo kama TUZO ZA WATU 2015, zilizofanyika jijini Dar es Salaam.

Washindi hao  ni katika vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo ya washindi yaliingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi...

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA

1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - B ora Mchawi, Dar Bongo Massive 2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer  3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz…

 

10 years ago

Africanjam.Com

LIST KAMILI YA WASHINDI "BET AWARDS 2015"

Wakali wa muziki kama Chris Brown, Nicki Minaj, na Rihanna na wengine walimiliki stage kwa kuperform. Janet Jackson pamoja na Smokey Robinson walikua baadhi ya watu waliopewa tuzo za heshima mwaka huu na BETTuzo za BET Awards 2015 zilichukua headlines kubwa siku ya jumapili tarehe 28 June 2015 Los Angeles Marekani ambapo mc alikua ni Anthony Anderson na Trace Ellis Rose.LIST KAMILI YA WASHINDI BET 2015Best International Act UK:FKA TwigsFuse ODGLethal BizzleLittle SimzMnekStormzy- Winner

Best...

 

9 years ago

Vijimambo

WANAOGAMBANIA TUZO ZA BET HAWA HAPA AMBAO NI PAMOJA NA BRAKE, BIG SEAN, NICKI MINAJ

Kevin Winter / Handout / Craig Barritt, Getty Images
Drake is feeling blessed right now. The Toronto rap star nabbed a whopping 12 nominations for the 2015 BET Hip-Hop Awards. Fellow rhymers Big Sean and Nicki Minaj also garnered some major nods as well.

Drizzy is a nominee in categories including Album of the Year (If You’re Reading This It’s Too Late), Hustler of the Year, Lyricist of the Year and Sweet 16 for his guest verse on Big Sean’s “Blessings.”

Speaking of Sean Don, the Detroit rhymer...

 

9 years ago

Bongo5

Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016

Headies-2015

Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.

Headies-2015

Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.

Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:

Headies...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndio Washindi wa Tuzo za Taifa za Filamu, Tanzania Film Awards (TAFA)

1. Best Actress In Leading Role: Irene Paul
2. Best Comedian:  King Majuto
3 .Best Supporting Actress: Grace Mapunda
4. Best Supporting Actor (Male):  Tino Hisani Muya
5. Best Screenplay:  Irene Sanga
6. Tribute Award (Film Industry Support) : President Jakaya Kikwete
7. Tribute Personality Award: Steven Kanumba
8. Tribute Media : Zamaradi Mketema For Takeone(Clouds TV/Fm)
9. Life Time Achievement Award:  Mzee Jangala
10. Best Feature Film : Network
11. Best Director : John Kalaghe
12. Best...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akimtaja mshindi. Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto). MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015 1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND 2. KIKUNDI…

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo za BET 2015

Sam Smith ameshinda tuzo la msani bora mpya katika tamasha la mwaka huu la tuzo za BET mjini Los Angeles.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani