Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI TUZO ZA HABARI TANAPA WATEMBELEA MAENEO YA KIHISTORIA AFRIKA KUSINI

Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 kutoka kushoto David Rwenyagira (Radio Five), Vedasto Msungu (ITV), Mtanzania Peter Masika wa Johannesburg na Gerald Kitabu (The Guardian) wakiwa nje ya nyumba ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa ya Jumba la Makumbusho ya Ubaguzi wa Rangi. Picha ya Mzee Nelson Mandela inayopatikana katika Jengo hilo la Makumbusho ya Ubaguzi wa Rangi. Washindi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA KUJIFUNZA MAENEO YA UTALII AFRIKA KUSINI

 Mwanahabari Vedasto Msungu wa ITV (kushoto) na David Rwenyagira (Radio 5) walikuwa miongoni mwa wanahabari waliofika nje ya Jengo la Mahakama Kuu ya Pretoria ambapo ilikuwa siku muhimu ya utoaji hukumu kwa mwanariadha Oscar Pistorius aliyeshitakiwa kwa makosa ya kumuua mpenzi wake kwa silaha. Unayoyaona hapo nyuma ni magari maalum ya urushaji tukio hilo moja kwa moja katika vyombo mbalimbali vya habari duniani(OB Van) na mahema meupe ni Kambi iliyopigwa na wanahabari hao kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WATEMBELEA KIJIJI CHA UTALII WA UTAMADUNI AFRIKA KUSINI CHA LESEDI

Mshindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 Gerald Kitabu (The Guardian) akisalimiana na kijana wa Kizulu katika kijiji cha Utamaduni cha Lesedi walipotembelea ili kujifunza utalii wa kiutamaduni nchini Afrika Kusini. Mshindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 Vedasto Msungu (ITV) akisalimiana na kijana wa Kizulu katika kijiji cha Utamaduni cha Lesedi walipotembelea ili kujifunza utalii wa kiutamaduni nchini Afrika Kusini. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 kutoka kulia Gerald...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA KUSINI

 Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa pamoja na Mhariri Mkuu wa Habari na Matukio wa  Channel  Afrika ya Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) Busi Chaane (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika ya SABC Mike Arareng (wa kwanza kulia) walipotembelea studio hizo kwa ziara ya mafunzo. Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian), David...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA TUZO ZA TANAPA 2014 WAKABIDHIWA TUZO JIJINI MWANZA

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza. 
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za TANAPA 2014 wakabidhiwa tuzo Jjjini Mwanza

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) , Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.  Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla hiyo. Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. Mkuu wa wa Wilaya ya...

 

9 years ago

Bongo5

Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini apata deal la kihistoria

Rapper wa Afrika Kusini, Refiloe Phoolo maarufu kama Cassper Nyovest amesaini deal la ubalozi kubwa zaidi katika historia ya muziki nchini humo. Welcoming @CassperNyovest to the MTN family! He's officially our new brand ambassador! Fun times ahead! #MTNCassper pic.twitter.com/6eOe0wJhMC — MTN South Africa (@MTNza) October 22, 2015 Rapper huyo amekuwa balozi wa mtandao wa MTN. […]

 

11 years ago

Michuzi

10 WAFIKA FAINALI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013

Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete akizungumza na wanahabari jijini Arusha alipokuwa akitangaza Wanahabari waliofika fainali ya TUZO ZA HABARI ZA TANAPA ZA MWAKA 2013 wanaotarajiwa kukabidhiwa tuzo zao wiki ijayo jijini Mwanza wakati wa Mkutano wa kila mwaka wa TANAPA na Wahariri wa Habari nchini.
Jumla ya Waandishi wa Habari 10 wamefanikiwa kufikia hatua ya fainali ya Tuzo za Uandishi wa Habari za Shirika la Hifadhi za Taifa za mwaka 2013. 
 Wanahabari waliofanikiwa kufika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani