Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda uso kwa uso na msanii kutoka Mkuranga!

PG4A3957

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na msanii tenzi, nyimbo na mashairi  kutoka Mkuranga, Sauda Shaaban ambaye  alikwenda Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wake, Adam Malima  (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Wizkid na Davido uso kwa uso kwenye tuzo za MOBO 2015 za Uingereza, hakuna msanii wa Tanzania

Kama ilivyokuwa mwaka jana, mastaa wa Nigeria Wizkid na Davido wamekutanishwa tena kwenye tuzo za MOBO 2015 (Music Of Black Origin) za Uingereza, wakiwania kipengele kimoja cha ‘Best African Act’. Wasanii wengine wanaochuana nao kwenye kipengele hicho ni Fuse ODG (Ghana), Patoranking (Nigeria), Moelogo, Yemi Alade (Nigeria), Aka (South Africa), Mista Silva, Shatta Wale (Ghana) […]

 

10 years ago

Michuzi

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rage na Bandora Mirambo leo hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
Wawania kuteuliwa na CCM...

 

11 years ago

Michuzi

ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo

 Wazee wa kazi wa Serengeti Freight Forwarders  ya jijini London Kaka Muhsin (kushoto) na Kaka Chris  wakiwa wametulia tuli kabla ya kumpa ofa ya bonge la lunch ya usiku huu Ankal katika hoteli ya Hyatt Regency Churchill, London. Ankal akila selfie na Wazee wa Kazi Kaka Muhsin (kushoto) na Chris ambao pia walitumia nafasi hiyo kusherehekea kuhamisha ofisi yao ya Serengeti Freight Forwarders. Wao wanakuwa wamatumbi wa kwanza kuwa na ofisi sehemu za  Tilbury Port. Soma maelezo hapo...

 

10 years ago

Vijimambo

Muwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjiniWagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.


Wawania kuteuliwa na CCM...

 

11 years ago

Michuzi

Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

Mlimani Park Orchestra “Sikinde”Msondo Ngoma BandMagwiji wa muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma Band na Mlimani Park Orchestra “Sikinde” siku ya Iddi Mosi watachuana vikali katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Temeke. Mpambano huo wa Nani Mtani Jembe ni kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Id El Fitr na pia litaamua ni bendi ipi kali kati yao. Mratibu wa mchuano huo, Joseph Kapinga amesema pambano hilo litaanza saa nane alasiri hadi majogoo. Kapinga alisema bendi zote mbili ziko msituni...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA‏

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani