Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE

Promoter  " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya  DIAMOND  PLATNUMZ


Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo  kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Best African Entertainer: Diamond ambwaga Davido kwenye tuzo za IRAWMA

Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards). “It always seems impossible until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi ya […]

 

10 years ago

GPL

BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA

Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC. MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi. Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi. Brahimi amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo,...

 

9 years ago

Bongo5

Eddie Kenzo ashinda ‘African Artist of The Year’ aliyokuwa akiwania na Diamond katika tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (NEA)

Tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zimetolewa usiku wa Sept .6 huko New York nchini Marekani, lakini safari hii bahati ya ushindi haikuwa kwa msanii wa Tanzania aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo hizo. Msanii wa Uganda, Eddie Kenzo ndiye aliyeibuka mshindi wa kipengele cha ‘African Artist of The Year’ ambacho kilikuwa ni maalum kwa wasanii […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Merkel ashinda tuzo ya Time ya mwaka 2015

Jarida la Time limemtawaza Chansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwa "Mtu mashuhuri wa Mwaka” 2015.

 

10 years ago

GPL

LADY JAYDEE ASHINDA YA TUZO YA WIMBO BORA WA MWAKA

Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide. Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki.
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo:
Artist of the...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pohamba:ashinda tuzo ya 2014 ya Mo Ibrahim

Rais anayeondoka wa Naimbia Hifikepunye Pohamba,ameshinda tuzo ya dola milioni tano la Mo Ibrahim ya uongozi wa Afrika.

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT

Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...

 

9 years ago

Bongo5

Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza

150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters

Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.

150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters

Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.

Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.

Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani