Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Merkel ashinda tuzo ya Time ya mwaka 2015

Jarida la Time limemtawaza Chansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwa "Mtu mashuhuri wa Mwaka” 2015.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza

150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters

Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.

150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters

Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.

Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.

Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...

 

10 years ago

GPL

LADY JAYDEE ASHINDA YA TUZO YA WIMBO BORA WA MWAKA

Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide. Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki.
Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo:
Artist of the...

 

10 years ago

GPL

BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA

Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC. MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi. Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi. Brahimi amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwandishi MCL ashinda tuzo ya SFW 2015

Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Maimuna Kubegeya ameshinda tuzo ya mwandishi bora wa mitindo kwa mwaka 2015 iliyotolewa na Swahili Fashion Week.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE

Promoter  " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya  DIAMOND  PLATNUMZ


Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo  kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo...

 

9 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc ashinda Tuzo ya Biashara 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akipokea tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Kike wa Mwaka 2015 (Business Women of the Year 2015) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) katika hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akitoa neno la shukrani mara baada ya kukabidhiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ashinda ya tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka Afrika Mashariki, ‘Yahaya’ kwenye Bingwa Music Awards -Kenya

Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Lady Jaydee ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki. Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo: Artist of the Year – Kenrazy Showbiz Personality of the Year – […]

 

9 years ago

Bongo5

Eddie Kenzo ashinda ‘African Artist of The Year’ aliyokuwa akiwania na Diamond katika tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (NEA)

Tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zimetolewa usiku wa Sept .6 huko New York nchini Marekani, lakini safari hii bahati ya ushindi haikuwa kwa msanii wa Tanzania aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo hizo. Msanii wa Uganda, Eddie Kenzo ndiye aliyeibuka mshindi wa kipengele cha ‘African Artist of The Year’ ambacho kilikuwa ni maalum kwa wasanii […]

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall  Bwawani Mjini Zanzibar. Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani