Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi MCL ashinda tuzo ya SFW 2015

Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Maimuna Kubegeya ameshinda tuzo ya mwandishi bora wa mitindo kwa mwaka 2015 iliyotolewa na Swahili Fashion Week.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Merkel ashinda tuzo ya Time ya mwaka 2015

Jarida la Time limemtawaza Chansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwa "Mtu mashuhuri wa Mwaka” 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi MCL atekwa, apigwa

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd mkoani Mara, Christopher Maregesi amejeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Bunda, baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa moja ya vyama vya siasa wakiwa na viongozi wao kumteka ambapo walimmpiga, kumtesa na kumjeruhi huku wakimpora vitendea kazi vyake ikiwamo kamera.

 

10 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014

IMG_4181

 

“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”

Na Andrew Chale

USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu  mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu  ya  ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili  Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...

 

9 years ago

Bongo5

Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza

150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters

Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.

150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters

Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.

Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.

Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...

 

9 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc ashinda Tuzo ya Biashara 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akipokea tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Kike wa Mwaka 2015 (Business Women of the Year 2015) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) katika hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akitoa neno la shukrani mara baada ya kukabidhiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Eddie Kenzo ashinda ‘African Artist of The Year’ aliyokuwa akiwania na Diamond katika tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (NEA)

Tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zimetolewa usiku wa Sept .6 huko New York nchini Marekani, lakini safari hii bahati ya ushindi haikuwa kwa msanii wa Tanzania aliyekuwa akituwakilisha katika tuzo hizo. Msanii wa Uganda, Eddie Kenzo ndiye aliyeibuka mshindi wa kipengele cha ‘African Artist of The Year’ ambacho kilikuwa ni maalum kwa wasanii […]

 

11 years ago

Mwananchi

MCL yaendelea kutesa Tuzo za Umahiri nchini

Waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, MCL, wameendelea ‘kutesa’ katika tuzo mbalimbali za uandishi wa habari baada ya jana kushinda tena Tuzo ya Uandishi wa habari za Ukimwi, shindano lililoandaliwa na Taasisi ya Waandishi wa Habari za Ukimwi (AJAAT),

 

11 years ago

Mwananchi

MCL yaongoza kwa kuwania Tuzo MCT

Gazeti la Mwananchi kwa mara ya pili mfululizo waandishi wake wameongoza kwa kupeleka kazi nyingi zaidi ya vyombo vingine vya habari katika Shindano la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kwa mwaka 2013.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanahabari MCL waongoza uteuzi Tuzo za Ejat 2013

Waandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen wanaongoza katika orodha ya wateule wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2013 (Ejat 2013) kwa kuingiza majina 15 kati ya 76 ya wateule watakaotunukiwa zawadi zao Machi 14 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani