Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi MCL atekwa, apigwa

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd mkoani Mara, Christopher Maregesi amejeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Bunda, baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa moja ya vyama vya siasa wakiwa na viongozi wao kumteka ambapo walimmpiga, kumtesa na kumjeruhi huku wakimpora vitendea kazi vyake ikiwamo kamera.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi MCL apigwa Risasi, aporwa Sh2milioni

Watu wasiojulikana wamempiga risasi moja ya mkono na kumpora fedha kiasi cha Sh2milioni mfanyakazi wa Mwananchi Communication Limited, Patrick Pera mara baada ya kutoka kuzichukua katika benki ya NMB tawi la Mandela.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwandishi MCL ashinda tuzo ya SFW 2015

Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Maimuna Kubegeya ameshinda tuzo ya mwandishi bora wa mitindo kwa mwaka 2015 iliyotolewa na Swahili Fashion Week.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwandishi apigwa kwenye bomoabomoa

MWANDISHI wa habari wa gazeti la Tanzania Daima mkoani Mbeya, Gordon Kalulunga (35), amenusurika kifo baada ya kupigwa na mgambo wa jiji hili waliokuwa kwenye shughuli za operesheni vunjavunja. Kalulunga...

 

10 years ago

GPL

POLISI ATEKWA

Haruni Sanchawa na Shani Ramadhani Askari Polisi wa Kikosi  cha Tazara jijini Dar es Salaam  kinachosimamia ulinzi na usalama wa Reli ya Tanzania na  Zambia  aliyetajwa kwa jina la PC Gineneko, ametekwa kisha kuporwa bunduki aina ya SMG ikiwa na risasi 30 , Mei 27, mwaka  huu. PC Gineneko akiwa na majeraha baada ya kuvamiwa na majambazi. Watekaji hao mara baada ya kumpora bunduki askari huyo eneo la Yombo, Ilala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CHADEMA atekwa

HUKUMU ya wagombea ubunge wa Jimbo la Kalenga inatarajiwa kujulikana leo baada ya wakazi wake kupiga kura za kumchagua mbunge. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha William Mgimwa, aliyefariki...

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI ATEKWA, AUAWA

Na Waandishi Wetu
DUNIA imekwisha jamani! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa, kijana mmoja asiyejulikana alifika nyumbani kwao, Kigogo Luhanga na kutaka kiroba na mtu mmoja waongozane akabebe ndizi. Polisi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu. Akizungumzia...

 

10 years ago

GPL

MWANACCM ATEKWA, AUAWA

Stori: Denis Mtima na Haruni Sanchawa
UKATILI! Watu wasiojulikana wameyakatisha maisha ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  Tawi la Mkwajuni, Kigamboni jijini Dar,  Ibrahim Hamis (30).Tukio hilo la kusikitisha na lililowaacha midomo wazi wakazi wa eneo hilo, lilijiri usiku wa saa mbili hivi karibuni. Waombolezaji wakiubeba mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi...

 

11 years ago

Habarileo

Kigogo Chadema atekwa, ateswa

Mwenyekiti wa Chadema Temeke, Joseph Yona ambaye anadaiwa kutekwa nyara na kujeruhiwa na watu wasio julikana na kutupwa eneo la Ununio huko Kawe jijini Dar es Salaam akipelekwa wodini jana katika Hospitali ya Muhimbili. (Picha na Mroki Mroki).MGOGORO unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Wilaya ya Temeke, Joseph Yona, Polisi imesema.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mke wa mwanasiasa atekwa Cameroon

Mke wa naibu waziri mkuu wa Cameroon atekwa nyara na wapiganaji wa Nigeria kaskazini mwa nchi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani