Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigogo Chadema atekwa, ateswa

Mwenyekiti wa Chadema Temeke, Joseph Yona ambaye anadaiwa kutekwa nyara na kujeruhiwa na watu wasio julikana na kutupwa eneo la Ununio huko Kawe jijini Dar es Salaam akipelekwa wodini jana katika Hospitali ya Muhimbili. (Picha na Mroki Mroki).MGOGORO unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Wilaya ya Temeke, Joseph Yona, Polisi imesema.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KIGOGO MAGEREZA ATESWA, AUAWA

Stori:Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa KIGOGO wa cheo cha juu katika Jeshi la Magereza Tanzania, SP Barnabas Nkuba (56) ameuawa kikatili kisha mwili wake kuburuzwa na kutupwa kwenye choo cha nje cha nyumba yake, Uwazi limeichimba. Jeneza lenye mwili wa marehemu, SP Barnabas Nkuba (56) likiwa limebebwa na maofisa wa Jeshi la Magereza Tanzania.
Tukio hilo lililoacha maswali mengi lakini majibu kiduchu huku jeshi la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CHADEMA atekwa

HUKUMU ya wagombea ubunge wa Jimbo la Kalenga inatarajiwa kujulikana leo baada ya wakazi wake kupiga kura za kumchagua mbunge. Uchaguzi huo unafanyika kutokana na kifo cha William Mgimwa, aliyefariki...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke atekwa nyara, ajeruhiwa

Mwenyekiti wa Chadema, Wilaya ya Temeke, Joseph Yona (32), ametekwa nyara na kujeruhiwa vibaya kwa kipigo kisha kutupwa katika vichaka eneo la Tegeta Ununio, wilayani Kinondoni a watu wasiojulikana.

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema ashambuliwa Kigoma

Kigoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uenezi Kanda ya Magharibi (Chadema), Deogratius Liyunga amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni baada ya kujeruhiwa na kundi la watu alipokuwa anaelekea nyumbani kwake usiku wa juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumba ya kigogo CHADEMA yavamiwa

NYUMBA ya Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), John Heche, iliyopo Mabibo Loyola, jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojulikana, ambapo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CHADEMA apangua kesi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbozi, imemwachia huru Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Harode Langisa “Jivava”, baada ya kumkuta hana hatia katika kesi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo UVCCM ajiunga CHADEMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Siha, Godwin Mollel ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mollel aliyeachia ngazi kwenye chama hicho...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanne mbaroni mauaji ya kigogo Chadema

Polisi mkoani Geita wanawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, Alphonce Mawazo (pichani).

 

9 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema auawa kinyama Geita

Mji wa Geita umezizima kwa simazi, vilio na majonzi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani