Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigogo CHADEMA apangua kesi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mbozi, imemwachia huru Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Harode Langisa “Jivava”, baada ya kumkuta hana hatia katika kesi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maranda apangua kesi ya fedha za Epa

>Baada ya kupatikana na hatia katika kesi tatu za wizi wa Fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na hivyo kutumikia adhabu ya kifungo jela, hatimaye jana Kada wa CCM, Rajabu Maranda alipangua kesi mojawapo iliyokuwa ikimkabili.

 

5 years ago

Michuzi

KESI INAYOMKABILI KIGOGO WA CCM YAAHIRISHWA TENA

Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT-CCM Wilaya ya Kinondoni, Frolence Masunga (45) mkazi wa Kimara Suka jijini Dar es Salaam imeahirishwa tena.Kesi hiyo imetajwa kwa mara ya pili mnamo Machi 9,2020 ambapo ilishatajwa kwa mara ya kwanza Januari 22,2020 katika mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam mbele ya  Hakimu mfawidhi Martha Mpanze.
Masunga anashtakiwa kwa Kosa la kuchukua fedha za Abdallah Majura Bulembo, kwa njia ya udanganyifu,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema ashambuliwa Kigoma

Kigoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uenezi Kanda ya Magharibi (Chadema), Deogratius Liyunga amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni baada ya kujeruhiwa na kundi la watu alipokuwa anaelekea nyumbani kwake usiku wa juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumba ya kigogo CHADEMA yavamiwa

NYUMBA ya Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), John Heche, iliyopo Mabibo Loyola, jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojulikana, ambapo...

 

11 years ago

Habarileo

Kigogo Chadema atekwa, ateswa

Mwenyekiti wa Chadema Temeke, Joseph Yona ambaye anadaiwa kutekwa nyara na kujeruhiwa na watu wasio julikana na kutupwa eneo la Ununio huko Kawe jijini Dar es Salaam akipelekwa wodini jana katika Hospitali ya Muhimbili. (Picha na Mroki Mroki).MGOGORO unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Wilaya ya Temeke, Joseph Yona, Polisi imesema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo UVCCM ajiunga CHADEMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Siha, Godwin Mollel ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mollel aliyeachia ngazi kwenye chama hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema

Mbunge wa Arumeru Magharibi, Jashua Nassari.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...

 

9 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema auawa kinyama Geita

Mji wa Geita umezizima kwa simazi, vilio na majonzi baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanne mbaroni mauaji ya kigogo Chadema

Polisi mkoani Geita wanawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, Alphonce Mawazo (pichani).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani