KESI INAYOMKABILI KIGOGO WA CCM YAAHIRISHWA TENA

Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT-CCM Wilaya ya Kinondoni, Frolence Masunga (45) mkazi wa Kimara Suka jijini Dar es Salaam imeahirishwa tena.Kesi hiyo imetajwa kwa mara ya pili mnamo Machi 9,2020 ambapo ilishatajwa kwa mara ya kwanza Januari 22,2020 katika mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu mfawidhi Martha Mpanze.
Masunga anashtakiwa kwa Kosa la kuchukua fedha za Abdallah Majura Bulembo, kwa njia ya udanganyifu,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Kesi ya talaka ya mmiliki wa St. Mathew yaahirishwa tena
Na Mwandishi wetu
MAHAKAMA ya Mwanzo Kizuiani Mbagala, Dar es Salaam, imepanga Septemba Mosi mwaka huu kutoa hukumu katika kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali zenye thamani ya Sh Milioni 800 inayomkabili Mmiliki wa Shule ya Sekondari ya St. Mathew na St. Marks, Thadei Mtembei.
Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa juzi lakini iliahirishwa kutokana na upande wa mlalamikaji kutofika mahakamani.
Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Rajab Tamambele alisema kuwa kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya hukumu...
11 years ago
GPLLULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
GPLSHEIKH PONDA APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA
11 years ago
Michuzi
Kesi inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco,Willam Mhando na Wenzake kusikilizwa Agosti 26

Mhando na wenzake wanakabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.
Kesi ilipangwa kusikilizwa ushahidi huo, Julai 29 na 30, mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi...
5 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YAHOJI UPELELEZI WA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI OFISA ELIMU KWA UMMA LHRC
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Ofisa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Tito Magoti (26) na mwenzake kueleza hali ya upelelezi umefikia wapi kama unakwenda mbele au la.
Tito anashtakiwa na mwenzake mbaye ni mtaalamu wa masuala ya Tehama Theodory Gyan (36) ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya utakatishaji fedha wa Sh.milioni 17,...
5 years ago
Michuzi
UDHURU WA HAKIMU ANAYESIKILIZA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI MWANDISHI ERICK KABENDERA WAKWAMISHA MAJADILIANO MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Februari 17 mwaka 2020 imeshindwa kuendelea na makubaliano katika kesi a Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari Erick Kabendera kwa sababu Hakimu anayesikiliza kesi hiyo amepata udhuru.
Kwa mujibu wa ratiba ya kesi hiyo leo ilitegemewa kuwa ni hatma ya mwisho ya Kabendera kusota rumande tangu alipopandishwa kizimbani Agosti 5,mwaka 2019 baada ya kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini...
5 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YASHINDWA KUSOMA HUKUMU YA KESI YA KUZUIA POLISI KUFANYA KAZI INAYOMKABILI MKURUGENZI JAMII FORUMS
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mara nyingine tena imeshindwa kusoma hukumu ya kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi, inayomkabili, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo na mwenzake Micke William kwa sababu Hakimu aliyesikiliza kesi hiyo leo amepata udhuru.
Kwa mara ya kwanza kesi hiyo ilipangwa kutolewa hukumu Novemba 26, mwaka 2019 lakini iliahirishwa kutokana na Hakimu kutomaliza kuandaa hukumu na kupanga...
5 years ago
Michuzi
MASHAHIDI 28 KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA MAWILI YA MKAA
JUMLA ya mashahidi 28 akiwemo Mtaalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Hadija Mwema wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said Luongo (38) anayedaiwa kumuua mke wake kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa.
Mbali na mashahidi hao, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) atawasilisha mahakamani hapo vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio la mauaji, maelezo ya onyo ya mshitakiwa, ungamo la mshitakiwa kwa mlinzi wa...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Kesi ya ghorofa yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana imeahirisha kesi ya mauaji ya watu 27 kutokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya...