Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigogo UVCCM ajiunga CHADEMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Siha, Godwin Mollel ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mollel aliyeachia ngazi kwenye chama hicho...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema

Mbunge wa Arumeru Magharibi, Jashua Nassari.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto wa Wassira ajiunga CHADEMA

MAGAMBO Wassira ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaratibu, Steven Wassira, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza na Tanzania Daima jana,...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mfadhili Chadema ajiunga ACT

MFADHILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Musoma Mjini, Dk. Eliud Tongola, amejiengua chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na ACT –Wazalendo, chama hicho kimekiri Dk. Tongola kujiunga nacho.

Kwa takriban miaka minne alikuwa akilipia pango la ofisi za Chadema jimboni humo.

Dk. Tongola alisema kilichomtoa Chadema ni kuona viongozi wakiwa na wagombea wao mfukoni.

Alisema mchakato wa kuchukua...

 

10 years ago

Mtanzania

Frola Mbasha ajiunga Chadema

flora_mbashaNa Waandishi Wetu
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za injili nchini, Frola Mbasha ameijunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers mjini Dar es Salaam jana, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), alisema kuijunga kwa Mbasha katika chama hicho kutasaidia kuhamasisha wasanii wengine ambao wamekuwa wakitumiwa na Chama Chama Mapinduzi (CCM), bila kupata mafanikio.
” Idadi kubwa ya wasanii nchini, wanateseka bila...

 

10 years ago

Mwananchi

Said Nkumba ahama CCM, ajiunga Chadema

Mbunge wa Sikonge, CCM, Said Nkumba ametangaza kukihama hicho na kujiunga na Chadema, kwa madai CCM ‘haina mapenzi na watu’.

 

5 years ago

Michuzi

MJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA AJIUNGA NA CCM

Ndugu Moses Matiko Misiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Mkoa wa Mara na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amejivua vyeo vyake vyote ndani ya Chama hicho na kuomba kujiunga na CCM.Aidha Ndugu Moses Matiko Misiwa ameeleza sababu za kuachana na Chama chake,amesema chama hicho kwa sasa  kimepoteza muelekeo, Hivyo Uongozi wa dhati na wenye matokeo chanya wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. John Pombe Joseph Magufuli na Uimara wa CCM kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kigogo Chadema ashambuliwa Kigoma

Kigoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uenezi Kanda ya Magharibi (Chadema), Deogratius Liyunga amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni baada ya kujeruhiwa na kundi la watu alipokuwa anaelekea nyumbani kwake usiku wa juzi.

 

11 years ago

Habarileo

Kigogo Chadema atekwa, ateswa

Mwenyekiti wa Chadema Temeke, Joseph Yona ambaye anadaiwa kutekwa nyara na kujeruhiwa na watu wasio julikana na kutupwa eneo la Ununio huko Kawe jijini Dar es Salaam akipelekwa wodini jana katika Hospitali ya Muhimbili. (Picha na Mroki Mroki).MGOGORO unaoendelea ndani ya Chadema una uhusiano na tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Wilaya ya Temeke, Joseph Yona, Polisi imesema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumba ya kigogo CHADEMA yavamiwa

NYUMBA ya Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), John Heche, iliyopo Mabibo Loyola, jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojulikana, ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani