Said Nkumba ahama CCM, ajiunga Chadema
Mbunge wa Sikonge, CCM, Said Nkumba ametangaza kukihama hicho na kujiunga na Chadema, kwa madai CCM ‘haina mapenzi na watu’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Sep
Kagonji ahama Chadema, arejea CCM
ALIYEWAHI kugombea ubunge wa Mlalo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2005, Charles Kagonji amekihama chama hicho na kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMza0xiSIznEYXtmHJy-CQuBtKztInpW73WRz*UPXuZoXHM2es81rZ4vhADVrgofjj3F-BnHOMO3poUE8F1GWSYPv/BREAKING.gif)
MGEJA AHAMA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA
10 years ago
Vijimambo23 Feb
Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nassari-23Feb2015.jpg)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...
5 years ago
MichuziMJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA AJIUNGA NA CCM
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara ajiunga Chadema
Bw. Jumanne Juma Msunga.
Na Hillary Shoo, SINGIDA
MSAIDIZI wa Naibu Katibu Mkuu wa (CCM) Bara, Jumanne Juma Msunga ametangaza rasmi kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA, kwa madai kuwa CCM ni chama cha kudhulumu haki za wanachama wake.
Akitangaza uamuzi wake huo jana mbele ya waandishi wa habari kwenye ofisi za CHADEMA Mkoani Singida, Msunga alisema ameamua kujinga na CHADEMA,huku akidai kuwa CCM haikutenda haki katika mchakato mzima wa kumpata Mgombea wa nafasi ya Urais.
Alisema CCM haina...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-clL2nDEuvPE/XlUU-vC6TmI/AAAAAAALfSM/xdLI1OOJJUMLQXlv-vZ-GVEcaso_DX3HwCLcBGAsYHQ/s72-c/5195b03b-c739-4e0e-8583-a45d211463c8.jpg)
PIGO JINGINE CHADEMA, MWENYEKITI WA JIMBO LA BUNDA AJIUNGA NA CCM LEO
WANAISHA! Hiyo ndilo neno unaloweza kusema kutokana na wimbi la viongozi wa upinzani wanaohama vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Baada ya jana madiwani 11 wa Jiji la Mbeya wakiongozwa na Mstahiki Meya, David Mwashilindi kuihama Chadema na kuhamia CCM, leo tena Diwani kutoka Kata ya Hunyari iliyopo Halmashauri ya Bunda mkoani Mara ametangaza kuhama Chadema na kuhamia CCM.
Makina ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Bunda na Mjumbe wa Mkutano...
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Nkumba arejea CCM, aibukia uzinduzi wa Magufuli
10 years ago
Mtanzania25 May
Frola Mbasha ajiunga Chadema
Na Waandishi Wetu
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za injili nchini, Frola Mbasha ameijunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers mjini Dar es Salaam jana, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), alisema kuijunga kwa Mbasha katika chama hicho kutasaidia kuhamasisha wasanii wengine ambao wamekuwa wakitumiwa na Chama Chama Mapinduzi (CCM), bila kupata mafanikio.
” Idadi kubwa ya wasanii nchini, wanateseka bila...