Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGEJA AHAMA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja. MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi punde. Mgeja ametangaza uamuzi huo wakati akaiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam amabapo ametumia kauli ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Said Nkumba ahama CCM, ajiunga Chadema

Mbunge wa Sikonge, CCM, Said Nkumba ametangaza kukihama hicho na kujiunga na Chadema, kwa madai CCM ‘haina mapenzi na watu’.

 

10 years ago

Habarileo

Kagonji ahama Chadema, arejea CCM

Charles Kagonji ALIYEWAHI kugombea ubunge wa Mlalo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2005, Charles Kagonji amekihama chama hicho na kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Mwananchi

Mgeja, Guninita wajiengua CCM, wajiunga Chadema

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja na aliyekuwa mwenyekiti mkoa wa Dar es Salaam John Guninita wametangaza leo kuachana na CCM na kujiunga Chadema.

 

9 years ago

TheCitizen

Mgeja, Guninita quit CCM, join Chadema

Shinyanga Region Chama Cha Mapinduzi (CCM) chairman, Khamis Mgeja and former Dar es Salaam Region chair John Guninita have quitted membership of the ruling party.

 

9 years ago

Michuzi

MGEJA,GUNINITA WANGATUKA CCM ,WAJIUNGA CHADEMA

  Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja akizungumza na waandishi wa (habari  hawapo pichani )juu ya kungatuka katika chama hicho na kujiunga na Chadema leo katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Kulia ni John Gudinita. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, John Gudinita akitangaza kujiuzuru katika chama hicho na Kujiunga na Chadema leo majira ya saa tano katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam. kushoto Sheik...

 

9 years ago

Mtanzania

Mgeja, Guninita waibwaga CCM, wajiunga Chadema

mgeja, guninitaNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kimeacha misingi yake na sasa kimegeuka kuwa kampuni ya familia moja.

Mgeja pia amempiga kijembe mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimfananisha na dereva ambaye hajaweza kuendesha gari vizuri ‘learner’ akimaanisha kuwa hana uwezo wa kukiongoza chama hicho.

Mgeja alitoa kauli hiyo   Dar es Salaam jana alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA

CCM sio baba yangu si mama yangu, Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ndiyo maneno aliyoyatumia Khamis Mgeja alipokua kizungumuza na waandishi wa habari jijini Dar hivi punde alipotangaza uamuzi wake wa kukihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Kahama, James David Lembeli aondoka CCM na kujiunga rasmi na CHADEMA

Aliyekuwa Mbunge wa Kahama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), James David Lembeli (kushoto) akiingia ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mtoto wake, Wizilya Lembeli wakati akienda kutangaza kuondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani