Frola Mbasha ajiunga Chadema
Na Waandishi Wetu
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za injili nchini, Frola Mbasha ameijunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Tanganyika Packers mjini Dar es Salaam jana, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), alisema kuijunga kwa Mbasha katika chama hicho kutasaidia kuhamasisha wasanii wengine ambao wamekuwa wakitumiwa na Chama Chama Mapinduzi (CCM), bila kupata mafanikio.
” Idadi kubwa ya wasanii nchini, wanateseka bila...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KdePnNdzi0U/U6BHSjOjmiI/AAAAAAAFrP0/_2leZsTzu6U/s72-c/1911114_507199476058710_1063991907_o.jpg)
NEWS ALERT: MUME WA FROLA MBASHA APANDISHWA KIZIMBANI kWA KESI YA UBAKAJI
![](http://4.bp.blogspot.com/-KdePnNdzi0U/U6BHSjOjmiI/AAAAAAAFrP0/_2leZsTzu6U/s1600/1911114_507199476058710_1063991907_o.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Mfadhili Chadema ajiunga ACT
MFADHILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Musoma Mjini, Dk. Eliud Tongola, amejiengua chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na ACT –Wazalendo, chama hicho kimekiri Dk. Tongola kujiunga nacho.
Kwa takriban miaka minne alikuwa akilipia pango la ofisi za Chadema jimboni humo.
Dk. Tongola alisema kilichomtoa Chadema ni kuona viongozi wakiwa na wagombea wao mfukoni.
Alisema mchakato wa kuchukua...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Kigogo UVCCM ajiunga CHADEMA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Siha, Godwin Mollel ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mollel aliyeachia ngazi kwenye chama hicho...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Mtoto wa Wassira ajiunga CHADEMA
MAGAMBO Wassira ambaye ni mtoto wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaratibu, Steven Wassira, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza na Tanzania Daima jana,...
10 years ago
Vijimambo23 Feb
Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nassari-23Feb2015.jpg)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Said Nkumba ahama CCM, ajiunga Chadema
5 years ago
MichuziMJUMBE WA KAMATI KUU CHADEMA AJIUNGA NA CCM
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
10 years ago
VijimamboMUSLIM ARUDISHA FOMU YA UBUNGE, MAKUNGU AJIUNGA NA CHADEMA