Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfadhili Chadema ajiunga ACT

MFADHILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Musoma Mjini, Dk. Eliud Tongola, amejiengua chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na ACT –Wazalendo, chama hicho kimekiri Dk. Tongola kujiunga nacho.

Kwa takriban miaka minne alikuwa akilipia pango la ofisi za Chadema jimboni humo.

Dk. Tongola alisema kilichomtoa Chadema ni kuona viongozi wakiwa na wagombea wao mfukoni.

Alisema mchakato wa kuchukua...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mfadhili wa Chadema atimkia ACT Wazalendo

Aliyekuwa mfadhili wa Chadema Jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara, Dk Eliud Tongola amejiunga na Chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto wa Jaji Warioba ajiunga ACT

Na Esther Mbussi, Dar es Salaam
MTOTO wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amejiunga na Chama cha Alliance for Change &Transparency-Tanzania (ACT).
Binti huyo aliyejiandikisha kwa jina la June Warioba, alichukua kadi ya kujiunga na chama hicho makao makuu ya chama hicho Kijitonyama mjini Dar es Salaam jana.
Hata hivyo, June alikataa kupigwa picha wala kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwapo ofisini hapo.
Aliingia ofisini hapo saa 4 asubuhi ambapo...

 

10 years ago

GPL

AFANDE SELE NAYE AJIUNGA RASMI NA ACT

Zitto Kabwe, Afande Sele wakiwa na baadhi ya wanachama wapya wa ACT-Tanzania. MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania. Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar. Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania leo wakati wa mkutano na wanahabari...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII MAARUFU WA FILAMU AJIUNGA NA ACT WAZALEND

Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho. Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi na katiba msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho. Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: Zitto ajiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, akabidhiwa kadi namba 007194

_MG_7774

Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT.

...Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Hayawi hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya leo Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake...

 

10 years ago

Michuzi

MSANII MAARUFU WA FILAMU AJIUNGA NA ACT WAZALENDO, KALENDA YA UCHUKUAJI FOMU YA CHAMA HICHO YATANGAZWA

Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho. Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam.Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi na katiba msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho. Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo UVCCM ajiunga CHADEMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Siha, Godwin Mollel ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mollel aliyeachia ngazi kwenye chama hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani