MSANII MAARUFU WA FILAMU AJIUNGA NA ACT WAZALEND
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto)...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi17 Jul
MSANII MAARUFU WA FILAMU AJIUNGA NA ACT WAZALENDO, KALENDA YA UCHUKUAJI FOMU YA CHAMA HICHO YATANGAZWA
![Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/MDe-0VxaXixuKMVHYLnUl7-ojXfnGOOwkw9fxz0OdGSGHCcoC5yeDoijwOug7IBHbSdh3yB63PHrnM11TE6IThN9CTOBNRLvdF0uIgnr7bV9G71b5V0=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0085.jpg)
![Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam.](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/IHN1LFHDY-cen7TUS4BMPNI4qMJnBT58w_cGuBMlj9PKvFdv-QwJuBdiSj38fKJM8gT4DHFxrGlwpiQAKzSyET0Pt_-i4dxaWVDqy3swsyVtBGBWt9o=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0047.jpg)
![Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi na katiba msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/RP4-so2s1aKUJXsH4QVim4D4IB_kazdQIEN34QxVJtL7RcQKyiFxOgmWEpX_eQOo_YB76UwHXGU6RDRuRRbOYpO0patz4_I82abddVw273afvdOJExo=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0080.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Mfadhili Chadema ajiunga ACT
MFADHILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Musoma Mjini, Dk. Eliud Tongola, amejiengua chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na ACT –Wazalendo, chama hicho kimekiri Dk. Tongola kujiunga nacho.
Kwa takriban miaka minne alikuwa akilipia pango la ofisi za Chadema jimboni humo.
Dk. Tongola alisema kilichomtoa Chadema ni kuona viongozi wakiwa na wagombea wao mfukoni.
Alisema mchakato wa kuchukua...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Mtoto wa Jaji Warioba ajiunga ACT
Na Esther Mbussi, Dar es Salaam
MTOTO wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amejiunga na Chama cha Alliance for Change &Transparency-Tanzania (ACT).
Binti huyo aliyejiandikisha kwa jina la June Warioba, alichukua kadi ya kujiunga na chama hicho makao makuu ya chama hicho Kijitonyama mjini Dar es Salaam jana.
Hata hivyo, June alikataa kupigwa picha wala kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwapo ofisini hapo.
Aliingia ofisini hapo saa 4 asubuhi ambapo...
10 years ago
GPLAFANDE SELE NAYE AJIUNGA RASMI NA ACT
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Mazishi ya msanii maarufu wa Rwanda Kiziko Mihigo yafanyika
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Babu Tale: Ni mtihani mgumu kumuongoza msanii maarufu
MENEJA wa kundi la muziki wa kizazi kipya nchini, Tip Top Connection, Babu Tale, amesema sio kazi rahisi kumsimamia msanii mkubwa ni lazima uumize kichwa na kuwa tayari kwa lolote....
10 years ago
GPLMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO