Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFANDE SELE NAYE AJIUNGA RASMI NA ACT

Zitto Kabwe, Afande Sele wakiwa na baadhi ya wanachama wapya wa ACT-Tanzania. MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania. Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar. Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania leo wakati wa mkutano na wanahabari...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Afande Sele kugombea Ubunge kupitia ACT

Afande SeleNA SHABANI MATUTU
MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Suleimani Msindi ‘Afande sele’, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).
Msanii huyo ametangaza azma yake hiyo jana mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Niliumizwa baada ya kusikia kuwa eti katiba ya chama inasema kuwa mwanachama anayekwenda mahakamani kudai haki...

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: Zitto ajiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, akabidhiwa kadi namba 007194

_MG_7774

Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT.

...Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Hayawi hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya leo Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake...

 

11 years ago

GPL

MASKINI AFANDE SELE

Stori:  Erick Evarist na Joseph Shaluwa
SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao. Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’. Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukata wamkwamisha Afande Sele

Mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini (ACT - Wazalendo), Seleman Msindi maarufu Afande Sele, amesema ameshindwa kuzindua kampeni zake kutokana na kukabiliwa na ukata wa fedha.

 

10 years ago

Michuzi

Hayawi hayawi… Sasa yamekuwa.... Zitto Kabwe ajiunga rasmi na chama cha ACT



 Licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe (pichani juu akisaini kitabu baada ya kupewa kadi) sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana  Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Hili limetokea  siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa...

 

10 years ago

GPL

MKE WA AFANDE SELE AZIKWA MOROGORO

Mashekhe wakiombea mwili wa marehemu Asha Mohamed Shiengo kabla ya kufanya mazishi. Afande Sele akijikaza kuweka mchanga kwenye kaburi la mke wake marehema, Asha Mohamed Shiengo…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afande Sele amnadi mgombea udiwani

MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzi alimnadi mgombea udiwani  wa Kata ya Tungi, Juma Tembo (CHADEMA), kwa falsafa yake mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho,...

 

10 years ago

GPL

MKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA

Picha ya familia: Kutoka kulia ni Asha Mohammed Shiengo ‘Mama Tunda’ enzi za uhai wake, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda Selemani. Mke wa mwanamuziki Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asha Mohammed Shiengo 'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa kwa ugonjwa wa… ...

 

10 years ago

GPL

AFANDE SELE ANASWA NA DEMU MPYA

Na Musa Mateja
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzikati alinaswa akiwa na demu mpya akiwa ni siku moja tu baada ya kufanyika kwa 40 ya aliyekuwa mzazi mwenzake, marehemu mama Tunda. Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’,akiwa na mpenzi mpya. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Septemba 21 mwaka huu ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani