Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA

Picha ya familia: Kutoka kulia ni Asha Mohammed Shiengo ‘Mama Tunda’ enzi za uhai wake, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda Selemani. Mke wa mwanamuziki Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asha Mohammed Shiengo 'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa kwa ugonjwa wa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKE WA AFANDE SELE AZIKWA MOROGORO

Mashekhe wakiombea mwili wa marehemu Asha Mohamed Shiengo kabla ya kufanya mazishi. Afande Sele akijikaza kuweka mchanga kwenye kaburi la mke wake marehema, Asha Mohamed Shiengo…

 

10 years ago

GPL

MKE WA NOORAH AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao. Mke wa msanii wa Bongo Fleva Noorah, Anna Kingwalu, amefariki leo nyumbani kwao Morogoro amethibitisha Dark Master. Noorah na Anna walifunga ndoa Juni 8, 2013 nyumbani kwao Shinyanga.…

 

11 years ago

GPL

MASKINI AFANDE SELE

Stori:  Erick Evarist na Joseph Shaluwa
SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao. Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’. Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia...

 

11 years ago

Habarileo

Mke wa Lubuva afariki dunia India

MKE wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Damian Lubuva amefariki akiwa nchini India alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa kisukari. Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi, Lubuva kutokana na kifo hicho cha Martha Lubuva kilichotokea Januari 17 katika Hospitali ya Apollo iliyopo New Delhi, India.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukata wamkwamisha Afande Sele

Mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini (ACT - Wazalendo), Seleman Msindi maarufu Afande Sele, amesema ameshindwa kuzindua kampeni zake kutokana na kukabiliwa na ukata wa fedha.

 

10 years ago

Bongo5

Mke wa rapper Noorah, Camila afariki dunia

Mke wa rapper Noorah, Camila Kingwalu amefariki dunia jana nyumbani kwao Morogoro baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na Bongo5, ndugu wa karibu wa marehemu ambaye hakutaka kutajwa jina lake, amesema Camila baada ya kuanza kuugua alirudi nyumbani kwao mpaka mauti yalipomkuta hapo jana. “Kweli amefariki alikuwa kwao Morogoro na bado haikujulikana alikuwa anaumwa […]

 

11 years ago

GPL

AFANDE SELE ANASWA NA DEMU MPYA

Na Musa Mateja
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzikati alinaswa akiwa na demu mpya akiwa ni siku moja tu baada ya kufanyika kwa 40 ya aliyekuwa mzazi mwenzake, marehemu mama Tunda. Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’,akiwa na mpenzi mpya. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Septemba 21 mwaka huu ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro...

 

10 years ago

GPL

DADA WA AFANDE SELE AFIA GESTI

Dustan Shekidele, Morogoro DADA wa msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ Zaria Kambi (30) ambaye alikuwa ni mhudumu wa baa, amekutwa ameuawa kikatili katika Gesti ya Stavi (Gesti ya Marafiki) iliyopo Kichangani, mjini Morogoro. Dada wa msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ Zaria Kambi. Tukio hilo la kinyama lilitokea usiku wa Jumapili...

 

11 years ago

GPL

AFANDE SELE AZIMIA AKIMZIKA MKEWE!

Stori: Dustan Shekidele,Morogoro
Mfalme wa Rhymes Bongo, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameshindwa kustahimili msiba wa mkewe, Asha Msindi (34) na kujikuta akizimia msibani wakati wa maziko, Risasi Jumamosi lina stori ya kusikitisha. Mwili wa marehemu Asha Mohamed Shiengo 'Mama Tunda' ukiombewa kabla ya mazishi. Tukio hilo ambalo liliibua simanzi nzito mkoani hapa na kuweka historia lilijiri juzi, Alhamisi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani