Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DADA WA AFANDE SELE AFIA GESTI

Dustan Shekidele, Morogoro DADA wa msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ Zaria Kambi (30) ambaye alikuwa ni mhudumu wa baa, amekutwa ameuawa kikatili katika Gesti ya Stavi (Gesti ya Marafiki) iliyopo Kichangani, mjini Morogoro. Dada wa msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ Zaria Kambi. Tukio hilo la kinyama lilitokea usiku wa Jumapili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASKINI AFANDE SELE

Stori:  Erick Evarist na Joseph Shaluwa
SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao. Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’. Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia...

 

11 years ago

GPL

MREMBO AFIA GESTI ARUSHA

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha
MREMBO mmoja ambaye alihu-dumu kwenye nyumba ya kulala wageni na baa (jina tunalo) iliyopo Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Blandina Michael (33) amekutwa amekufa kwenye moja ya vyumba vya nyumba hiyo huku chanzo cha tukio hilo kikihusishwa na vitendo vya ushirikiana. Taarifa za awali zilimtuhumu mmiliki wa nyumba ya wageni moja ambaye pia anajihusisha na biashara za madini (jina tunalo)...

 

10 years ago

GPL

TAJIRI AFIA GESTI ARUSHA

Tajiri mmoja aitwaye Metili amekutwa amefariki akiwa gesti ya Diamond huko Arusha leo, chanzo kikidaiwa kumeza vidonge vya Viagra. (Picha na Global WhatsApp +255 753 779/ Arusha)

 

10 years ago

CloudsFM

MSUSI WA SALOON AFIA GESTI

Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni msusi katika moja ya Saloon za wanawake manispaa ya Tabora inayofahamika kama HK.Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na...

 

10 years ago

GPL

MSUSI WA SALUNI AFIA GESTI!

Stori: Mwandishi Wetu, Tabora Kifo hakina huruma! Msusi wa saluni ya wanawake iitwayo HK iliyopo mjini hapa, aliyetambuliwa kwa jina moja la Ramadhan almaarufu Rama anadaiwa kufia katika nyumba ya kulala wageni (gesti) na kuibua utata mkubwa, kwani alikwenda kulala akiwa fiti kabisa hivyo polisi kupewa kazi ya kuchunguza kubaini kilichomuua. Mwili wa Ramadhan ukipakizwa kwenye gari la polisi. Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukata wamkwamisha Afande Sele

Mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini (ACT - Wazalendo), Seleman Msindi maarufu Afande Sele, amesema ameshindwa kuzindua kampeni zake kutokana na kukabiliwa na ukata wa fedha.

 

10 years ago

GPL

ALIYEOMBEWA KWA GWAJIMA AFIA GESTI!

Mayasa Mariwata na Rhoda Josia Habari mbaya inamhusu mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Averina ambaye alikuwa akiombewa kwenye Kanisa la Ufufuo na Uzima la Nabii Josephat Gwajima ambaye anadaiwa kufia nyumba ya kulala wageni (gesti) ya My Fair iliyopo Kawe jijini Dar. Mwili wa marehemu Averina ukitolewa gesti. Tukio hilo lililoacha viulizo na kuzua minong’ono midomoni mwa wengi lilijiri hivi karibuni ambapo mwanadada...

 

11 years ago

GPL

DAKTARI MWANZA AFIA GESTI DAR

Stori: Makongoro Oging’
MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ ijulikanayo kwa jina la Nesta iliyopo Ubungo NHC wilayani Kinondoni jijini Dar. Mwili wa Dk. Raymond Simion ukitolewa kwenye chumba cha kulala wageni na polisi. Taarifa kutoka katika gesti hiyo zinasema marehemu alijiorodhesha kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva afia gesti akifanya mapenzi

DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Juma Juma (52) amekutwa amekufa ndani ya chumba cha kulala wageni wakati akifanya mapenzi na mhudumu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani