DAKTARI MWANZA AFIA GESTI DAR
![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKdD5MRhXZFeCVKRnEl1cVi8PL3yL-d9Eyatm53OogkY1upaKZ077hAsWvwYREOrVA6aqKdzKmAhqNk1Vsu-jbS/dock.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ ijulikanayo kwa jina la Nesta iliyopo Ubungo NHC wilayani Kinondoni jijini Dar. Mwili wa Dk. Raymond Simion ukitolewa kwenye chumba cha kulala wageni na polisi. Taarifa kutoka katika gesti hiyo zinasema marehemu alijiorodhesha kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM05 Dec
MSUSI WA SALOON AFIA GESTI
Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni msusi katika moja ya Saloon za wanawake manispaa ya Tabora inayofahamika kama HK.
Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvJPc38*i0KJuEoUAtpWN-z40kVTrzteGWoH77PVmWVhvrv7iAhF71v2DSBNxwdRzbjbH6kdu3xz1U0MRo2C57tm/Newfolder.jpg?width=650)
TAJIRI AFIA GESTI ARUSHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0bfNFAOzL1RAbVJt2rDw3vVbxLq*LlvhQGckBR2oJa0hVlAIVaUjG09bYJuaqE-BI8wOYGJ5Leg2ENVx2UwUYSOH9BO-43m0/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO AFIA GESTI ARUSHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOob-eDRVbYhXo03OG5oCL5Rz69HBhdLiLoKclxS-ELU20XBMyepwyw7gW9uzbtN*n3*MEh70pGAxzlDE9SqPtyLS/TABORA.jpg?width=650)
MSUSI WA SALUNI AFIA GESTI!
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Dereva afia gesti akifanya mapenzi
DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, Juma Juma (52) amekutwa amekufa ndani ya chumba cha kulala wageni wakati akifanya mapenzi na mhudumu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9wPdBHS7L7UuLp-e1a5z0q9MoZKZ*woGP*oMV7B0Ehl5HYGd5QLdNdhj310YGXeeqBuaehQfTHcM0In8tqPGnvU/1.jpg?width=650)
DADA WA AFANDE SELE AFIA GESTI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08ctf3ecOL6eg99kRNjsg*ZHzSRIdlX9ouSVTolCsLWCQVVx7obWiAKOxs7mW1CJPDJPyO9RwDdcQZfUfksamKZFw/nomasana.jpg)
ALIYEOMBEWA KWA GWAJIMA AFIA GESTI!
11 years ago
Dewji Blog08 May
Dereva wa Halmashauri afia gesti akifanya mapenzi
Na Nathaniel Limu, Singida
DEREVA wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida Juma Juma (52) amefariki dunia wakati akifanya mapenzi na mwanamke mhudumu wa baa kwenye nyumba ya kulala wageni.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela amesema tukio hilo limetokea mei tatu mwaka huu saa nane za usiku chumba no.S.2 nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Top Life New Kiomboi mjini.
Amesema siku ya tukio,dereva Juma saa sita za usiku alimwaga mpangaji wake...
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Daktari mwokozi afia gerezani Syria