Daktari mwokozi afia gerezani Syria
Abbas Khan mwenye umri wa miaka 32 mtaalamu wa upasuaji kutoka London alienda Syria kuwatibu waathiriwa wa mgogoro wa kisiasa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
DAKTARI MWANZA AFIA GESTI DAR
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki
5 years ago
BBCSwahili02 Mar
Erdogan: EU haijatoa msaada wowote kuhakikisha wakimbizi wa Syria wanaishi ''maeneo salama'' nchini Syria.
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Mtoto afia kisimani
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mtoto Susan Shadrack (2) mkazi wa Majohe Kivule aliyetumbukia kisimani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala,...
11 years ago
GPL
DENTI AFIA KWA HAWARA
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Kigogo CCM afia mkutanoni
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...
10 years ago
GPL
MREMBO MBONGO AFIA CHINA!
10 years ago
GPL
MSUSI WA SALUNI AFIA GESTI!
10 years ago
CloudsFM05 Dec
MSUSI WA SALOON AFIA GESTI
Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni msusi katika moja ya Saloon za wanawake manispaa ya Tabora inayofahamika kama HK.
Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na...