Kigogo CCM afia mkutanoni
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Viongozi CCM watimuliwa mkutanoni
WANANCHI wa Kata ya Kambasegela wilayani Rungwe mkoani hapa, wamewafukuza viongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM wa kata hiyo walipotaka kufanya mkutano wa hadhara ili kuimarisha chama chao. Akizungumza...
10 years ago
Mwananchi20 Apr
Kada CCM atinga na chopa ya Ndesa mkutanoni Moshi
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Kada wa CCM agongwa na gari afia hospitali Dodoma
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kigogo CCM auawa
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Kigogo CCM lawamani Geita
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma, amelaumiwa akidaiwa kuingilia maamuzi yanayofikiwa na Baraza la Madiwani, likiwemo la ujenzi wa choo. Kutokana na shutuma hizo, baadhi...
11 years ago
Habarileo03 Jan
Kigogo wa CCM atembelea waandishi wagonjwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera kimeshauri sekta mbalimbali mkoani humo, kutambua na kuthamini mchango unaotolewa na waandishi wa habari.
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Kigogo CCM akana kupewa onyo
Awali, ilielezwa kuwa Jesca amepewa adhabu ya kusimamishwa uanachama, lakini baadaye ikabainika kuwa amepewa onyo kali kuhusiana na tuhuma hizo.
Hata hivyo, Jesca ameibuka na kueleza kuwa amekata rufani kupinga hatua zilizochukuliwa dhidi yake na kusisitiza kuwa uamuzi huo...
10 years ago
GPLKIGOGO CCM AANGUA KILIO HADHARANI!
10 years ago
Vijimambo23 Feb
Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...