Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kigogo wa CCM atembelea waandishi wagonjwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera kimeshauri sekta mbalimbali mkoani humo, kutambua na kuthamini mchango unaotolewa na waandishi wa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATEMBELEA WAGONJWA.

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifanya ziara ya kutembelea wagonjwa waliojeruhiwa katika vurugu za kisiasa zilizotokea siku ya mkutano wa CUF uliofanyika Makunduchi tarehe 29/03/2015. Baada ya kuwaangalia wagonjwa hao katika mitaa mbali mbali ya Mjini Magharibi ikiwemo mitaa ya Jang'ombe, Muembe Makumbi na Mfenesini, Maalim Seif amesema Chama hicho hakitotoka kwenye mstari na kamwe hakitojitumbukiza kwenye vurugu hizo zilizopangwa kwa malengo ya kukivurugia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM auawa

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewakumbusha wagonjwa na wafiwa kuwa na subra na uvumilivu, wakielewa kuwa hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu. Akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Wilaya ya Mkoani, Maalim Seif amesema maradhi ni jumla ya mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na kwamba wanaopatwa na mitihani hiyo hawana budi kushuru na kuomba dua. Maalim Seif ambaye yuko kisiwani Pemba kwa ziara ya siku sita ya kuangalia wagonjwa,...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo CCM afia mkutanoni

salminNa Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM lawamani Geita

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma, amelaumiwa akidaiwa kuingilia maamuzi yanayofikiwa na Baraza la Madiwani, likiwemo la ujenzi wa choo. Kutokana na shutuma hizo, baadhi...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ATEMBELEA WAGONJWA WA HOSPITALI YA TENGERU NA KUWASIKILIZA KERO ZAO

Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalinUbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto
wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika
kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa katika...

 

10 years ago

GPL

KIGOGO CCM AANGUA KILIO HADHARANI!

Katibu wa Elimu, Malezi na Uchumi ambaaye pia ni Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Emmy Kiula kisikitikia jambo. Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro/Ijumaa Wikienda
Machungu! Kigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa ambaye ni Katibu wa Elimu, Malezi na Uchumi na pia ni Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Emmy Kiula amejikuta akiangua kilio hadharani baada ya Mzee Mohamed Halfan (78) mwenye ulemavu kumlilia kuwa...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO CCM AUAWA JIJINI MWANZA

Clement Mabina enzi za uhai wake. Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa mchana huu Kisesa, Mwanza baada ya kumpiga risasi raia mmoja na yeye kuuawa katika ugomvi wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani