Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF ATEMBELEA WAGONJWA.

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifanya ziara ya kutembelea wagonjwa waliojeruhiwa katika vurugu za kisiasa zilizotokea siku ya mkutano wa CUF uliofanyika Makunduchi tarehe 29/03/2015. Baada ya kuwaangalia wagonjwa hao katika mitaa mbali mbali ya Mjini Magharibi ikiwemo mitaa ya Jang'ombe, Muembe Makumbi na Mfenesini, Maalim Seif amesema Chama hicho hakitotoka kwenye mstari na kamwe hakitojitumbukiza kwenye vurugu hizo zilizopangwa kwa malengo ya kukivurugia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewakumbusha wagonjwa na wafiwa kuwa na subra na uvumilivu, wakielewa kuwa hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu. Akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Wilaya ya Mkoani, Maalim Seif amesema maradhi ni jumla ya mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na kwamba wanaopatwa na mitihani hiyo hawana budi kushuru na kuomba dua. Maalim Seif ambaye yuko kisiwani Pemba kwa ziara ya siku sita ya kuangalia wagonjwa,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YA KUTEMBELEA WAGONJWA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B".Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B".Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Magharibi "A" na "B".Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ATEMBELEA AZAM TV

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa (Azam TV) Bw. Tido Muhando, alipowasili kwa ajili kutembelea kituo hicho cha Televisheni.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya watendaji wa (Azam TV) alipowasili kwa ajili kutembelea kituo hicho cha Televisheni.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea studio za (Azam TV) jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATEMBELEA MICHEWENI LEO

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mzee wa Makangale, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Micheweni. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akimfariji Bi. Habiba Mkadam Hamad wa kijiji cha Makangale baada ya kumjuilia hali, akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Micheweni. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika kijiji cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aendelea na ziara ya kutembelea wagonjwa Mkoa wa Mjini Magharibi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipita mitaa ya Mjimkongwe kuendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya MjiniMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipita mitaa ya Mjimkongwe kuendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya MjiniMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwajuilia hali na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika mitaa ya Jang’ombe, Nyerere na Kwamtipura...

 

10 years ago

Michuzi

maalim seif afariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja.

Na Hassan Hamad, OMKR. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amefanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Katika ziara hiyo Maalim Seif amewaombea wagonjwa hao kuweza kupona haraka, ili waweze kuungana na wananchi wengine katika shughuli za kimaisha, sambamba na kuwataka wale waliofiwa kuwa na subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Miongoni mwa vijiji alivyotembelea katika mkoa huo ni pamoja na Muyuni,...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif atembelea masoko ya manispaa ya Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na uwepo wa vyakula na matunda yenye viwango kwa ajili ya mwezi mtuku wa Ramadhani. Hata hivyo amesema bei zake bado ziko juu ikilinganishwa na kipato cha wananchi, na kwamba wananchi walio wengi wanashindwa kumudu kununua bidhaa hizo. Maalim Seif ametoa kauli hiyo katika ziara yake ya kutembelea masoko mbali mbali ya manispaa ya mji wa Zanzibar, kuangalia hali ya upatikanaji wa bidhaa na matunda,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maalim Seif atembelea Banda la Wizara ya Katiba na Sheria

1

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Kisheria kwa Umma katika Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Felistas Mushi jana (Aprili 15, 2014) wakati wa maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Fanuel Mbonde (kulia) akimhudumia mwananchi aliyefika jana (Aprili 15, 2014) katika banda la...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Shariff Hamad atembelea soko la matunda Mombasa.

Na Hassan Hamad wa OMKR. Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapungua.  Wito huo umetolewa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya majaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi, soko la matunda Mombasa, pamoja na kutembelea shimo la kutupia taka lililoko Kibele, kujionea hali halisi ya ukusanyaji na utupaji wa taka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani