Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif Shariff Hamad atembelea soko la matunda Mombasa.

Na Hassan Hamad wa OMKR. Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapungua.  Wito huo umetolewa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya majaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi, soko la matunda Mombasa, pamoja na kutembelea shimo la kutupia taka lililoko Kibele, kujionea hali halisi ya ukusanyaji na utupaji wa taka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es SalaamWakiwa katika picha ya pamoja.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewakumbusha wagonjwa na wafiwa kuwa na subra na uvumilivu, wakielewa kuwa hiyo ni mitihani ya Mwenyezi Mungu. Akiwa katika ziara ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Wilaya ya Mkoani, Maalim Seif amesema maradhi ni jumla ya mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na kwamba wanaopatwa na mitihani hiyo hawana budi kushuru na kuomba dua. Maalim Seif ambaye yuko kisiwani Pemba kwa ziara ya siku sita ya kuangalia wagonjwa,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unafahamu Maalim Seif Shariff ni shabiki ?

Zuhura Yunus alimtupia swali Maalim Seif Shariff , mgombea urais wa chama cha upinzani cha CUF kisiwani Zanzibar akitaka kujua anapenda nini mbali na siasa?

 

11 years ago

GPL

SEIF SHARIFF HAMAD KAZUNGUMZA LEO, KAULI ZAKE 7 KUHUSU MUUNGANO ZIKO HAPA

Maalim Seif Sharif Hamad. Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutoutaka muungano lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya muungano ya kuzitoa hizi kauli zifuatazo. 1. ‘Pamoja na milima na mabonde, muungano huu umedumu miaka 50, nchi nyingine zilishindwa, lazima tufanye tathmini hasa ya muungano wetu, lazima vijana waelimishwe vp...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad, atembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar jana usiku, kuangalia hali ya upatikanaji wa bidhaa hizo katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya Eid- El-Fitri. Picha zote na Salmin Said, OMKRMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea maduka mbali mbali ya nguo na viatu katika maeneo ya Mlandege, Mchangani na Darajani Zanzibar

 

10 years ago

GPL

HAMAD, MAALIM SEIF KUMEKUCHA

Stori: Mwandishi wetu
VITA ya mahasimu wawili wa kisiasa kutoka CUF Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed, inaonekana bado mbichi baada ya mjumbe huyo wa Bunge Maalum la Katiba kumlipua bosi wake hadharani. Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Jumatatu iliyopita akiwa bungeni, Hamad aliyefukuzwa uanachama wa CUF miaka michache iliyopita,...

 

9 years ago

IPPmedia

Maalim Seif Sharif Hamad


IPPmedia
Maalim Seif Sharif Hamad
IPPmedia
Civic United Front (CUF) General Secretary and Zanzibar presidential candidate, Maalim Seif Sharif Hamad, has issued a three-day ultimatum to the Zanzibar government to proceed with the release of election results or let Zanzibaris decide their fate.

 

10 years ago

GPL

MAALIM HAMAD ATEMBELEA OFISI ZA AZAM TV

Hamad akizungumza na wafanyakazi wa Azam TV.
Wafanyakazi wa Azam TV wakimsikiliza Hamad. Wafanyakazi wa Azam TV baada ya mazungumzo wakipata picha ya pamoja na Hamad.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani