Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEIF SHARIFF HAMAD KAZUNGUMZA LEO, KAULI ZAKE 7 KUHUSU MUUNGANO ZIKO HAPA

Maalim Seif Sharif Hamad. Amekua mmiliki wa vichwa vya habari kutokana na ripoti mbalimbali ambazo zimekua zikimnukuu kwa kudai kutoutaka muungano lakini leo April 15 2014 amezungumza kwenye maonyesho ya miaka 50 ya muungano ya kuzitoa hizi kauli zifuatazo. 1. ‘Pamoja na milima na mabonde, muungano huu umedumu miaka 50, nchi nyingine zilishindwa, lazima tufanye tathmini hasa ya muungano wetu, lazima vijana waelimishwe vp...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es SalaamWakiwa katika picha ya pamoja.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Shariff Hamad atembelea soko la matunda Mombasa.

Na Hassan Hamad wa OMKR. Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapungua.  Wito huo umetolewa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya majaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi, soko la matunda Mombasa, pamoja na kutembelea shimo la kutupia taka lililoko Kibele, kujionea hali halisi ya ukusanyaji na utupaji wa taka...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Maselle awajibike kuhusu kauli zake

Tumeshtushwa na tuhuma nzito zilizotolewa bungeni hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Steven Maselle dhidi ya balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose.

 

9 years ago

Vijimambo

UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA



Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...

 

9 years ago

Vijimambo

KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA


Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu. Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani