KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA

Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
UMESIKIA HII KAULI YA MREMA BAADA YA KUKOSA WATU KWENYE KAMPENI ZAKE? SOMA HAPA

Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake.Akizungumza na waandishi wa habari jimboni Vunjo, Mrema amepeleka lawama moja kwa moja kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, kwa kumchafua kwa matusi kwenye kampeni pamoja na kufanyiwa ubaguzi.“Siwalaumu wanachama wa CHADEMA, viongozi wao ndio wenye fujo na mimi, sasa najiuliza tatizo ni nini uzee wangu?...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
UMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!
10 years ago
StarTV24 Aug
Je wajua kauli gani ya Mwinyi iliyoivuruga UKAWA?Hii hapa.

Katika uzinduzi huo ulihudhuriwa na rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na rais wa awamu ya awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete ambao wote walirusha makombora upande wa wapinzani wakimpigia...
11 years ago
GPL
SEIF SHARIFF HAMAD KAZUNGUMZA LEO, KAULI ZAKE 7 KUHUSU MUUNGANO ZIKO HAPA
11 years ago
Mwananchi02 May
Mkapa atoa hadhari kuhusu Katiba Mpya
9 years ago
CHADEMA Blog
KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR