Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkapa atoa hadhari kuhusu Katiba Mpya

 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuwa waangalifu ili mchakato wa Katiba Mpya usiwe sababu ya kupigana au kufarakana ili kupata Katiba itakayoendelea kudumisha amani, upendo, utulivu na ushirikiano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA


Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...

 

11 years ago

Habarileo

JK, Mkapa, Shein waonya mchakato wa Katiba mpya

Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin MkapaVIONGOZI wa kitaifa wameonya kuhusu muelekeo wa mchakato wa kupata Katiba mpya, kwamba usiachiwe kuvuruga amani, upendo na mshikamano wa kitaifa, huku Rais Jakaya Kikwete akihadharisha kuwa isipopatikana, Katiba hiyo, itatafutwa tena miaka ijayo.

 

11 years ago

Michuzi

RAZA ATOA YA MOYONI KUHUSU MCHAKATO WA KATIKA MPYA

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM) Mohamedraza Hassanal (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar. Katika mazungumzo yake alisema ni Vyema Bunge la Katiba likaahirishwa ili kutoa fursa zaidi Watu wajihusishe na harakati za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na Kupatikane Wasaa mpana wa kujadiliana kwa dhamira ya dhati ya kupata Katiba Bora inayoridhiwa na upande wa Bara na Visiwani.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya

>Jaji mstaafu Mark Bomani amelishauri Bunge Maalumu la Katiba kuweka kando suala la muundo wa serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha mgawanyiko mkubwa baina ya wajumbe.

 

10 years ago

Bongo5

Idris Sultan atoa jibu kuhusu mjengo wake mpya kama amenunua au amepewa

Swali lililokuwepo kuhusu mjengo wa kifahari ambao mshindi wa BBA Hotshots, Idris Sultan ni kama amenunua au amepewa, na tayari mshindi huyo wa $300,000 za Biggy ametoa jibu. Idris amesema mjengo huo ni wa kwake, na ni zawadi kutoka kwa aliyekuwa boss wake: “Sasa hivi nina status flani kwahiyo natakiwa kujiweka vizuri kwasababu ni kioo […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Uamuzi wa wamisri kuhusu katiba mpya

Watu nchini Misri wameanza kupigia kura ya maamuzi katiba mpya huku hali ya usalama ikiwa imedhibitiwa vikali.

 

11 years ago

Habarileo

Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya

WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya  Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani