Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAZA ATOA YA MOYONI KUHUSU MCHAKATO WA KATIKA MPYA

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM) Mohamedraza Hassanal (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar. Katika mazungumzo yake alisema ni Vyema Bunge la Katiba likaahirishwa ili kutoa fursa zaidi Watu wajihusishe na harakati za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na Kupatikane Wasaa mpana wa kujadiliana kwa dhamira ya dhati ya kupata Katiba Bora inayoridhiwa na upande wa Bara na Visiwani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

JK atoa ya moyoni mchakato wa Katiba

Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe watakaopata fursa ya kuingia kwenye Bunge la Katiba kuweka mbele masilahi ya Taifa badala ya makundi yao.

 

10 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATOA LA MOYONI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Mwanamuziki Mrisho Mpoto amempongeza msanii Diamond Platnumz kwa kupata tuzo tatu za Channel O nchini Afrika Kusini.

 

9 years ago

Vijimambo

PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi.  Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...

 

9 years ago

Bongo5

Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe

miss universe

Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.

miss universe

Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...

 

11 years ago

Michuzi

MSIMAMO WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA

Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu msimamo wangu kuhusu mchakato wa Katiba.
Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu Zilizoboreshwa (S3z) ili kuwa na Muungano imara usio tegemezi wala egemezi kwa...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

MSIMAMO WA NDUGU ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA

MSIMAMO WA NDUGU ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA

Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu msimamo wangu kuhusu mchakato wa Katiba.

Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Miezi mitano ya sintofahamu kuhusu BVR, Kura ya Maoni

>Ilichukua miezi mitano kumaliza mvutano wa kimahesabu na maneno baina ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Serikali na wadau wa demokrasia kuhusu muda wa maandalizi na upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani