Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MRISHO MPOTO ATOA LA MOYONI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Mwanamuziki Mrisho Mpoto amempongeza msanii Diamond Platnumz kwa kupata tuzo tatu za Channel O nchini Afrika Kusini.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAZA ATOA YA MOYONI KUHUSU MCHAKATO WA KATIKA MPYA

Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM) Mohamedraza Hassanal (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar. Katika mazungumzo yake alisema ni Vyema Bunge la Katiba likaahirishwa ili kutoa fursa zaidi Watu wajihusishe na harakati za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na Kupatikane Wasaa mpana wa kujadiliana kwa dhamira ya dhati ya kupata Katiba Bora inayoridhiwa na upande wa Bara na Visiwani.

 

9 years ago

Vijimambo

PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi.  Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Bongo5

Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe

miss universe

Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.

miss universe

Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...

 

9 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO -2

ATUA DAR, AOKOTA KUNI, VIFUU NA KUVIUZA MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale upande wa baba yake alipomwambia mkewe ampeleke mtoto porini hadi atakapofariki dunia kisha arudi kwa sababu tu alizaliwa akiwa na alama ya ajabu shingoni. Songa nayo mwenyewe... “Kwa kuwa baada ya mama kunizaa alisema hatazaa tena, kitendo cha kuambiwa anipeleke porini nikafie huko nifukiwe kilimfanya...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: AANZISHA KAMPUNI, APELEKWA MAHAKAMANI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoamua kuanzisha Kipindi cha Bongo Dar es Salaam na kufanikiwa kumuweka Dude lakini Dude huyohuyo akalewa sifa na kutaka kumgeuka ambapo alienda Televisheni ya Taifa (TBC) na kudai apewe mkataba mpya bila Mrisho kujua. Alikataliwa, je unajua kilichoendelea?Songa nayo sasa... “TBC wakaendelea kumgomea Dude kwamba hawawezi kuukatisha...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano — Njoo Uchukue

Huu mi wimbo mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto akimshirikisha Felly Kano wimbo unaitwa “Njoo Uchukue”

 

11 years ago

Michuzi

MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND

 Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani  Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.  Mrisho Mpoto akighani mashairi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani