MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND

Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.
Mrisho Mpoto akighani mashairi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 Jun
LOWASSA AZIDI KUPASUA ANGA
NA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameingia visiwani Zanzibar na kupokewa kwa maandamano makubwa ya wana CCM.
Lowassa aliwasili Zanzibar juzi akitokea jijini Mwanza, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili agombee urais kupitia CCM.
Lowassa na ujumble wake waliingia Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume saa 1:30 jioni, ambapo alipokewa kwa shangwe na wana CCM, vikundi vya ngoma, waendesha...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM Blog
TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS 2015: DKT MAGUFULI AZIDI KUPASUA ANGA KWA KISHINDO MKOANI RUKWA


10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Skylight Band yazidi kupasua anga na muziki wa Live, njoo ushuhudie leo Thai Village
Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na waimbaji wenzake wa bendi ya Skylight ambao ni Ashura Kitenge(kushoto) na kulia ni John Music kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba.
Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake kulia ni Sam Mapenzi na kushoto ni Joniko Flower
Waimbaji wa Skylight Band...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Mjomba Mpoto awaita videoni
MSANII mahiri wa utunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ anatarajiwa kuuweka katika video wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Waite’ aliouachia hivi karibuni. Wimbo huo aliyoutengeneza katika studio yake ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Mjomba Mpoto awaita mashabiki wake
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ amemaliza mwaka kwa kuwashushia mashabiki wake kibao kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Waite’. Mjomba anatamba na nyimbo mbalimbali ikiwemo ‘Chocheeni...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Mjomba Mpoto kupamba miaka 20 ya Prolife
MSANII maarufu wa Kughani mashairi, Mrisho Mpoto ‘Mjomba Mpoto’, anatarajiwa kutumbuiza katika kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya Shirika la Kutetea Uhai wa Binadamu (Prolife). Kilele cha maadhimisho hayo,...
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Filamu za Kibongo za Zidi Kupasua Anga!
Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho akiwa ndani ya ndege.
"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii .BongoMovie ..MkeMchafu humo ndani ninaemjua ni Johari Chagula pekee yake . but lengo lakuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I...
11 years ago
Michuzi.jpg)
idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa yazidi kupasua anga