idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa yazidi kupasua anga
![](http://4.bp.blogspot.com/-HGfk4Qeb1mU/U18q8dAGwSI/AAAAAAAFd2s/ZhuJIBDFEPE/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Na Mwandishi Maalum Radio ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, inaendelea kujizoelea umaarufu kwa kupanua wigo wake wa ushirikiano na vituo mbalimbali vya utangazaji katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Tanzania na Marekani. Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, iliyowasilishwa mbele ya wajumbe wa Kamati ya Habari ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma, Bw Peter-Launsky Tieffenthel Kamati ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Skylight Band yazidi kupasua anga na muziki wa Live, njoo ushuhudie leo Thai Village
Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na waimbaji wenzake wa bendi ya Skylight ambao ni Ashura Kitenge(kushoto) na kulia ni John Music kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba.
Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake kulia ni Sam Mapenzi na kushoto ni Joniko Flower
Waimbaji wa Skylight Band...
10 years ago
Mtanzania08 Jun
LOWASSA AZIDI KUPASUA ANGA
NA ELIAS MSUYA, ZANZIBAR
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameingia visiwani Zanzibar na kupokewa kwa maandamano makubwa ya wana CCM.
Lowassa aliwasili Zanzibar juzi akitokea jijini Mwanza, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili agombee urais kupitia CCM.
Lowassa na ujumble wake waliingia Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume saa 1:30 jioni, ambapo alipokewa kwa shangwe na wana CCM, vikundi vya ngoma, waendesha...
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Filamu za Kibongo za Zidi Kupasua Anga!
Filamu za kitanzania maarufu kama Bongo Movies zimezidi kuvuka mipaka na kupata fursa ya kuonekana zaidi duniani.Hii ni kutokan na hiki ambacho blogger maarufu Jestina George mtanzania aneishi ughaibuni kushea nasi kile alichokutana nacho akiwa ndani ya ndege.
"I was very happy hivi karibuni wakati nasafiri ndani ya Emirates kukutana na hii .BongoMovie ..MkeMchafu humo ndani ninaemjua ni Johari Chagula pekee yake . but lengo lakuleta hapa ni kuwapongeza sana maana ni hatua nzuri and I...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7tUxzh_2kqY/U0WCixN1wTI/AAAAAAAFZjw/T6wrE49YE_o/s72-c/IMG_2447.jpg)
MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND
![](http://3.bp.blogspot.com/-7tUxzh_2kqY/U0WCixN1wTI/AAAAAAAFZjw/T6wrE49YE_o/s1600/IMG_2447.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-amuGNO6QU24/U0WCk7JlUII/AAAAAAAFZj4/YUmQCHXKrY4/s1600/IMG_2535.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/YOUXnkGcOW8/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies01 Feb
JB: Jerusalem Film Company Inazidi Kupasua Anga, Mzee wa Swaga ya Someka Zambia
"Jerusalem Film Company inazidi kupasua anga....baada ya kumshirikisha msanii mkubwa sana Zambia Cassie Kabwita kwenye sinema ya MZEE WA SWAGA tumepata coverage kwenye gazeti la The Post huko Zambia Cassie akielezea sinema ya Mzee Wa Swaga...Malengo ya Jerusalem ni kujitangaza nje ya nchi tumeanza na Zambia".
"Shukrani kwa Cassie Kabwita na sasa tunajipanga kutusua Zimbabwe!!! Sinema yetu ijayo tutaifanyia Zambia Cassie akiwa mwenyeji wetu na pia tutawaleta wasanii wawili maarufu sana...
5 years ago
CCM Blog![](https://3.bp.blogspot.com/-Ghoa1QUm7TA/VdybRc19stI/AAAAAAAC-CA/ISG0Ifn31xE/s72-c/_MG_6249.jpg)
TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS 2015: DKT MAGUFULI AZIDI KUPASUA ANGA KWA KISHINDO MKOANI RUKWA
![](https://3.bp.blogspot.com/-Ghoa1QUm7TA/VdybRc19stI/AAAAAAAC-CA/ISG0Ifn31xE/s640/_MG_6249.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-BsaIiqPuEfU/VdybQoxK4EI/AAAAAAAC-B0/JMDNIDl8J9w/s640/_MG_6257.jpg)
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
Idhaa ya Kiswahili,Brazil 2014
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/fVnvkZ8jqw8/default.jpg)