Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano — Njoo Uchukue

Huu mi wimbo mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto akimshirikisha Felly Kano wimbo unaitwa “Njoo Uchukue”

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

afumbua fumbo la wimbo ‘Njoo Uchukue’

Watu wakikimbia wanakozika hudondokea kwenye maiti nyama, siku zote naamini kwamba huwezi kulala kwenye mto hata kama uliokauka, ukitaka kujua mwendo wa mjinga mpe kilemba uone, kama ya kwangu itakusaidia ili kupata, njoo nyumbani uifuate.”

 

9 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO -2

ATUA DAR, AOKOTA KUNI, VIFUU NA KUVIUZA MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale upande wa baba yake alipomwambia mkewe ampeleke mtoto porini hadi atakapofariki dunia kisha arudi kwa sababu tu alizaliwa akiwa na alama ya ajabu shingoni. Songa nayo mwenyewe... “Kwa kuwa baada ya mama kunizaa alisema hatazaa tena, kitendo cha kuambiwa anipeleke porini nikafie huko nifukiwe kilimfanya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mpoto ashoot video ya wimbo ‘Njoo Uichukue’ ndani ya uwanja wa taifa

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ameanza kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Njoo Uichukue’ ndani ya uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam pamoja na sehemu nyingine. Mpoto akiimba Akizungumza na Bongo5 leo msemaji wa Mpoto Theatre Gallery Ltd , Dominic Kaunda, alisema ndani ya video hiyo inayofanyWa na director Adam Juma wamewatumia […]

 

10 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATOA LA MOYONI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

Mwanamuziki Mrisho Mpoto amempongeza msanii Diamond Platnumz kwa kupata tuzo tatu za Channel O nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani