Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mpoto ashoot video ya wimbo ‘Njoo Uichukue’ ndani ya uwanja wa taifa

Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ameanza kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Njoo Uichukue’ ndani ya uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam pamoja na sehemu nyingine. Mpoto akiimba Akizungumza na Bongo5 leo msemaji wa Mpoto Theatre Gallery Ltd , Dominic Kaunda, alisema ndani ya video hiyo inayofanyWa na director Adam Juma wamewatumia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Bushoke ashoot video mpya na msanii wa Uganda

Muimbaji wa Bongo Flava, Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini ameshoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii wa Uganda, Face Off. Bushoke amesema wimbo huo unaitwa ‘She Wants It’ na umeimbwa katika lugha tatu, Kiswahili, Kiingereza na Kiganda. Video imefanyika jijini Cape Town katika location tatu tofauti huku kampuni iliyohusika ikiitwa Dirty […]

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyoBaadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wazindua wimbo wao mpya kwa kishindo, leo ndani ya Thai Village hapatoshi njoo ucheze na kufurahi na staili mpya kibaoo!!

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mpera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania

Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii

Diva wa Skylight Band Digna Mpera akilisogeshaaaa taratibuuuuuuuu

Meneja mwenyeweee  Aneth Kushaba kwa raha zakeeeee Akiiimba kwa furaha kabisa ndani ya Kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita,ambayo ilikuwa ni uzinduzi Rasmi wa Wimbo wao...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!‏

Divas wa Skyligth Band toka kushoto Aneth Kushab,Mary Lukos(katikati) na Digna Mbepera(kulia)wakilianzisha Taratibuuu Ijumaa Iliyopita huku wakipendeza na kivazi chao cha asili ya Kitanzania Diva wa Skylight Band Mary Lukos akilitiririsha Vocal kaliiiiii…

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano — Njoo Uchukue

Huu mi wimbo mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto akimshirikisha Felly Kano wimbo unaitwa “Njoo Uchukue”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani