MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali
Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyo
Baadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Dec
10 years ago
MichuziTIMU YA WIZARA YA AFYA YAANZA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SHIMIWI KATIKA UWANJA WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi04 Dec
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bamPl0F4gD4/VedwDuHAupI/AAAAAAAH180/eafkYYR-PSM/s72-c/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
Mazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru
![](http://3.bp.blogspot.com/-bamPl0F4gD4/VedwDuHAupI/AAAAAAAH180/eafkYYR-PSM/s640/unnamed%2B%252834%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3k7c5DsJyWk/VedwDiNjdPI/AAAAAAAH184/VQqEyitF_Ks/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
11 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUHUSU ZOEZI LA USAILI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI LILILOFANYWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA UWANJA MPYA WA TAIFA TAREHE 13 JUNI, 2014
10 years ago
Vijimambo24 Feb
NGUMI KUPIGWA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
![](https://4.bp.blogspot.com/-3sK3dpj2IZM/VMM64uSiZ3I/AAAAAAAAG4I/fyLpvOZl_uU/s400/2.jpg)
BONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' ametamba kumsambalatisha Fadhili MajihaStoper' katika raundi za awali za mpambano wao utakaofanyika siku ya jumamosi ya feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano huo wa raundi nane unasubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini ususani vitongoji vya Kinondoni, Manzese, mabibo na Mwananyamala ambapo ndio maeneo yao yenye wapenzi wao wa ngumi na sehermu mbalimbali
akizungumza na mwandishi wa habari hizi Miyeyusho...
10 years ago
Michuzi25 Feb
NGUMI KUPIGWA UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
![](https://4.bp.blogspot.com/-3sK3dpj2IZM/VMM64uSiZ3I/AAAAAAAAG4I/fyLpvOZl_uU/s400/2.jpg)
BONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe'
ametamba kumsambalatisha Fadhili Majiha 'Stopper' katika raundi za awali za mpambano wao utakaofanyika siku ya jumamosi ya feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano huo wa raundi nane unasubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini ususani vitongoji vya Kinondoni, Manzese, mabibo na Mwananyamala ambapo ndio maeneo yao yenye wapenzi wao wa ngumi na sehermu mbalimbali
akizungumza na mwandishi wa habari hizi Miyeyusho...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-znlksAwEvUeAhs7Edq22BZ-8wLPXmFkVJwhNjYou7e3*AAw8svrVJagj3pgf0c6mu6eIdvE9sMW1SZSmVPiETQ/UPENDONKONE.jpg?width=650)
UPENDO NKONE AKITOA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA
10 years ago
VijimamboMPAMBANO WA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI ULIVYOPIGWA UWANJA WA NDANI WA TAIFA