Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo ya mashindano ya ngumi ya ubingwa Taifa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyoBaadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...

 

10 years ago

Vijimambo

MIKANDA MIWILI YA UBINGWA WA TAIFA WA NGUMI KUGOMBANIWA MANYARA PARK JANUARY 30

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Ibrahimu Tamba ambaye ni bingwa wa uzito wa kg 72 ambaye ni bingwa wa TPBO anatarajia kuvaana na Baraka Mwakansope wa Mbeya mpambano wa ubingwa wa raundi kumi utakaofanyika january 30 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM

akizungumzia mpambano huo promota Jafarri Ndame amesema siku hiyo kutakuwa na mipambano miwili ya ubingwa yote yakiwa na raundi kumi kila moja mpambano mwingine utawakutanisha Azizi Abdallah akatakaekabiliana na Selemani Zugo pia kutakuwa na...

 

10 years ago

GPL

BONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA

Bintou Schmill a.k.a 'The Voice' baada ya kumchapa Mirjana Vujic kwa K.O. Bintou akizichapa na…

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA WA KIKE MWAFRIKA ACHUKUA UBINGWA WA NGUMI ULAYA

Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la ubingwa wa ngumi za kulipwa unaotambuliwa na IBF,Bondia Bintou alimpiga na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic kwa K.O katika raundi ya 3,. Pambano hilo lilionyeshwa Live katika TV channel ya euro sport na kutazamwa na maelfu ya watu wakishuhudia bondia wa kike mwafrika akirusha ngumi kali kuliko radi.
Bintou Schmill (30) aka The Voice...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI

Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa pointBondia Julius Kisalawe kushoto...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA NGUMI YA NELSONI MANDELA OPEN CHAMPIONSHIP YAMALIZIKA KAWE

Bondia Rudia Mashala kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ratifa Khalidi wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Champion Ship yaliyo malizika katika viwanja vya Kawe Dar es salaam Ratifa alishinda kwa point.
Bondia Ezira Paur wa Kigoma akipambana na Hafidhi Kassimu wa Ngome wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open CHampionship yaliyomalizika kawe Dar es salaam Paur alishinda kwa point.
Baadhi ya watu waliofulika kuangalia michuano hiyo
Mstahiki Meya wa...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA NGUMI NELSON MANDELA OPEN BOXING CHAMPIONSHIP YANOGA KAWE

  Bondia Habasi Hamisi wa Kigoma akikwepa konde la Mustafa Murinho  wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Championship yaliyofanyika katika  viwanja vya Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam Morinho alishinda kwa point mpambano huo na kuingia fainal Bondia Finias Genga kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Swanga wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Openchampion ship yaliyofanyika katika viwanja vya  Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani