Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA NGUMI YA NELSONI MANDELA OPEN CHAMPIONSHIP YAMALIZIKA KAWE

Bondia Rudia Mashala kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ratifa Khalidi wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Champion Ship yaliyo malizika katika viwanja vya Kawe Dar es salaam Ratifa alishinda kwa point.
Bondia Ezira Paur wa Kigoma akipambana na Hafidhi Kassimu wa Ngome wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open CHampionship yaliyomalizika kawe Dar es salaam Paur alishinda kwa point.
Baadhi ya watu waliofulika kuangalia michuano hiyo
Mstahiki Meya wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA NGUMI NELSON MANDELA OPEN BOXING CHAMPIONSHIP YANOGA KAWE

  Bondia Habasi Hamisi wa Kigoma akikwepa konde la Mustafa Murinho  wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Championship yaliyofanyika katika  viwanja vya Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam Morinho alishinda kwa point mpambano huo na kuingia fainal Bondia Finias Genga kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Haruna Swanga wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Openchampion ship yaliyofanyika katika viwanja vya  Tanganyika Packers Kawe  jijini Dar es salaam...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MBUNGE YAMALIZIKA

Mbunge Kabati akikabidhi  mipira  kwa mratibu wa mashindano Rashid Bilo 'Shungu' katika makabidhiano yaliyofanyika katika uwanjwa wa Ipogoro.  Mbunge kabati  akifunga mashindano ya Rita Kabati Vijana Cup yaliyofanyika katika Kata ya Ruaha mjini Iringa    Mbunge  wa viti maalum mkoa  wa Iringa Ritta Kabati akionyesha uwezo wake  kisoka huku mkuu wa wilaya ya Kibonde Venance Mwamoto kulia akishangaa utaalam wa mbunge huyo.
00000000  0000000 0000000
MASHINDANO YA MBUNGE YAMALIZIKA
Na...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MALECELA CUP 2014 YAMALIZIKA JIMBO LA SAME MASHARIKI

Mgeni rasmi katika mashindano ya John Sawel Malecela 2014,mbunge wa viti maalum Ester Bulaya(mwenye kofia) akiwa na mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela wakati wa fainali ya mshindano hayo iliyofanyika katika uwanja wa Mamba Myamba wilayani Same. 
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela akiongozwa na katibu wa chama cha soka wilaya ya Same Nathaniel Msangi kwenda kukagua timu za sekondari ya Parane na Ntenga zilizokuwa zikicheza mchezo wa fainali ya kwanza.

BOFYA HAPA...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA LUCY OWENYA CUP YAMALIZIKA,TIMU YA KIBOSHO KINDI YAIBUKA MABINGWA

Mbunge wa viti maalumu Lucy Owenya (Chadema)akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibosho Kilima kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015. 
Meza kuu wakifurahi mara baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga cha mwisho ambapo timu ya Kibosho Kindi iliibuka na ushindi wa bao 3 kwa 1.
Mchezo ukiendelea.
Mashabiki wa timu ya soka ya Kibosho Kindi wakifurahia ushindi huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Mchezo wa Safari Lager National Pool Championship 2014 yazinduliwa leo jijini Dar

MASHINDANO ya mchezo wa pool ya ‘Safari Lager National Pool Championship 2014’, ngazi ya mikoa yanatarajia kuanza Juni 14, mwaka huu katika mikoa 18 ya Tanzania Bara.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo huo Taifa (TAPA), Amosi Kafwinga amesema mashindano hayo ambayo kwa ngazi ya taifa yatamalizika mwezi Septemba 14, mwaka huu.
Kafwinga amesema fainali za taifa za mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI

Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa pointBondia Julius Kisalawe kushoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani