Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazishi ya kiongozi wa kikosi cha wataalamu wa China katika mpango wa ushirikiano wa ujenzi wa uwanja wa taifa na uwanja wa Uhuru

 Mke wa marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Uhuru akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam   Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

SHEREHE ZA UHURU ZILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.

Pia baadhi ya viongozi walioshiriki maadhimisho hayo wamepongeza juhudi za Rais Kikwete katika kusimamia mchakato wa Katiba hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura ya maoni, na kuwataka wananchi kujitokeza kuipigia kura Katiba hiyo Inayopendekezwa kwa kuwa inajali...

 

5 years ago

Michuzi

CHINA YAANZA UJENZI UWANJA WA MPIRA UTAKAOGHARIMU DOLA BILIONI 1.7


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WAKATI vizuizi vikipungua nchini China ikiwa ni sehemu ya kupambana na virusi vya Corona (Covid -19)  klabu moja ya mpira wa miguu nchini humo imeeleza nia yake ya kurudisha mambo katika hali ya kawaida.
Klabu ya Guangzhou Evergrande imetangaza kuanza kazi ya kujenga uwanja wa mpira utakaobeba watazamaji  100,000, na utakua uwanja mkubwa zaidi ulimwenguni.
Imeelezwa kuwa uwanja huo umejengwa katika umbo la ya aina ya lotus  utagharimu dola za kimarekani...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyoBaadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...

 

11 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa tanzania standard newspapers watia fora katika maandamano ya mei mosi katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam

Wafanyakazi wa magazeti ya serikali wa Tanzania Standard Newspapers ltd. (TSN) wachapishaji wa Daily News, Habari Leo na Sunday News wakipita kwa bashasha mbele ya mgeni rasmi karika sherehe za Mei Mosi mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakiwa na mabango na magazeti yao mkononi. TSN Oyeeeeeee..... Mzee mzima Michael Mbiro akiwa na vijana wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiwapungia wana TSN wakati wanapita mbele yao. Rais ndiye Editor-in-Chief...

 

11 years ago

Michuzi

Maandamano katika sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini dar es salaam

 Wakala wa Ndege za Serikali wakiwa katika maandamano hayo yaliyofana sana  Wizara ya Mambo ya Ndani nao ndani  Benki Kuu  Wakala wa Ndege za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu. Kwa picha za kumwaga BOFYA HAPA

 

5 years ago

BBCSwahili

Daniel Toroitich arap Moi: Maelfu ya Wakenya na viongozi tofauti wahudhuria ibada ya mazishi katika uwanja wa Nyayo Nairobi

Maelfu ya Wakenya kutoka maeneo mbali mbali wamehudhuria ibada maalum ya kumuaga rais mstaafu Daniel Toroitich arap Moi katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Picha kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma: Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kesho Oktoba 14!

1

Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo  Mheshimiwa Juma Nkamia (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa maandalizi ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kinachotarajiwa kufanyika Oktoba 14 katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dokta Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi. 2a Mfugaji wa Vipepeo kutoka mkoani ...

 

11 years ago

GPL

RAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9, 1961.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani