Picha kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma: Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kesho Oktoba 14!
Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa maandalizi ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kinachotarajiwa kufanyika Oktoba 14 katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi. Mfugaji wa Vipepeo kutoka mkoani ...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboHOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara, Waziri wa Habari, Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Chiku Gallawa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma;Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri;Waheshimiwa Wabunge na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi; Ndugu Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma;Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa Kutoka Tanzania Bara na Zanzibar;Makatibu Wakuu Kutoka Wizara...
10 years ago
Vijimambo15 Oct
HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORARais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora siku ya jana.
Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Fatuma A....
Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Fatuma A....
9 years ago
VijimamboJK AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MWENGE WA UHURU DODOMA, NA KUMUENZI BABA WA TAIFA MWAL. JK NYERERE
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma leo Oktoba 14, 2015. Kilele hicho cha mbio za Mwenge kimekwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 16 tangu kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
10 years ago
GPLHOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora siku ya jana. Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,       Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo; Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,      Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto –...
10 years ago
MichuziRais Kikwete atoa hotuba Kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Tabora
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo(picha na Freddy Maro)
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI TABORA
Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge ulius na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora siku ya jana . Kulia ni Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Dkt.Fenela Mkangara. … ...
10 years ago
MichuziKilele cha Mbio za Uhuru chafanyika jijini Dar
Mshindi wa kwanza wa mbio za kilometa 21 katika mashindano ya Uhuru Marathon 2014,Fabian Joseph akimaliza mbio hizo katika viwanja vya Leaders Club,kuliko fanyika kilele cha mbio hizo.Fabian ameibuka kidedea baada ya kuwaacha nyuma washiriki wenzake 10.Baadhi ya washiriki wa mbio hizo wakiingia katika viwanya vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam kumalizia ngwe. Mgeni Rasmi katika mashindano ya Uhuru Marathon,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba...
10 years ago
MichuziKATIBA ILIYOPENDEKEZWA KUKABIDHIWA OKTOBA 08, 2014 KATIKA UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt, Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Jakaya Kikwete na wa Zanzibar Dkt Mohamed Sheni kwa waandishi wa habari, makabidhiano hayo yatafanyika Oktoba 08, 2014 katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog) Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa...
9 years ago
MichuziJk aongoza sherehe za kilele cha maadhimisho ya kuzima Mwenge Dodoma
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma na kuvikwa skafu tayari kuongoza maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu2015 na kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho yam bio za mwenge wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania