Jk aongoza sherehe za kilele cha maadhimisho ya kuzima Mwenge Dodoma
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma na kuvikwa skafu tayari kuongoza maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu2015 na kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho yam bio za mwenge wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboJK AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MWENGE WA UHURU DODOMA, NA KUMUENZI BABA WA TAIFA MWAL. JK NYERERE
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-EYA9suYHq7M/VD0-Uh2OZ-I/AAAAAAAGqf0/YyB3vQ_TE5E/s1600/2.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI TABORA
10 years ago
Vijimambo15 Oct
HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU
![](http://api.ning.com/files/j5WbzQSo3h84oK4AzOqvMKdJeRrRjKy8j6W2h2Ab2mU6k6Tp*NzVuS92DvscOAoFhl005PGAqSMQtPGq-yy5qXogJA-J2hyE/22.jpg?width=650)
Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Fatuma A....
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aongoza Sherehe za Kilele Cha wiki ya Elimu
10 years ago
VijimamboKILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DODOMA
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM MKOANI MBEYA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-WOf-uA9aAo4/Uu4_bPnUEZI/AAAAAAAFKSo/hIgI8Dc5_YY/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yYM4pcP0J_w/Uu4_hoaH1eI/AAAAAAAFKTI/eoapB1OqGCg/s1600/14.jpg)
10 years ago
MichuziKILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DODOMA
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
Picha kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma: Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kesho Oktoba 14!
![2a](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/2a.jpg)
9 years ago
VijimamboHOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU