Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete aongoza Sherehe za Kilele Cha wiki ya Elimu

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwanafunzi Agatha Julius Ninga kutoka Shule ya sekondari ya wasichana ya Tabora akiwa ni miongoni mwa wanafunzi sita waliofaulu vizuri katika mitihani ya sayansi ya kidato cha nne mwaka jana 2014.Agatha alifanya vizuri katika somo la Biolojia.Rais Kikwete alitoa zawadi kwa wanafunzi, shule,halmashauri na mikoa iliyofanya vizuri na kuongeza ufaulu katika mitihani ya Taifa kumaliza Elimu ya msingi na elimu ya sekondari.Tuzo na zawadi hizo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI TABORA

Kiongozi wa mbio za mwenge 2014 Rachel Kassandra akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge ulius na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora siku ya jana . Kulia ni Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Dkt.Fenela Mkangara. … ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM MKOANI MBEYA LEO

Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Wananchi na Wanachama wakareketwa wa chama hicho,mapema leo jioni kwenye kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho,yaliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine,jijini Mbeya,Pichani kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishuhudia tukio hilo.  Sehemu ya Umati wa Watu waliofika kwenye shamrashamra hizo leo.
Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa...

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora siku ya jana. Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,        Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo; Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,       Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto –...

 

9 years ago

Michuzi

Jk aongoza sherehe za kilele cha maadhimisho ya kuzima Mwenge Dodoma

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma na kuvikwa skafu tayari kuongoza maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu2015 na kumbukumbu ya miaka 16 ya kifo cha  Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “ Tumia haki yako ya kidemokrasia kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho yam bio za mwenge wa...

 

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara, Waziri wa Habari,       Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Chiku Gallawa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma;Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri;Waheshimiwa Wabunge na Wajumbe wa         Baraza la Wawakilishi; Ndugu Mwenyekiti  wa CCM Mkoa wa Dodoma;Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa Kutoka Tanzania        Bara na Zanzibar;Makatibu Wakuu Kutoka Wizara...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORARais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora siku ya jana.
Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Fatuma A....

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es Salaam tarehe 5.5.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimi mtoto Rahim mwenye umri wa miezi 2 akiwa na baba yake ndugu Amir Adam, 35, na mama yake Hamida (kushoto) walipompeleka kupata chanjo wakati wa sherehe za kilele cha siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Ufaransa nchini, Malika Berak (wa pili kulia) wakikata utepe kwa pamoja kuashiria kuzindua rasmi mradi mkubwa wa maji wa Musoma mjini uliogharimu jumla ya Sh. Bilioni 41, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Ufaransa nchini, Malika...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani