Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: AANZISHA KAMPUNI, APELEKWA MAHAKAMANI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoamua kuanzisha Kipindi cha Bongo Dar es Salaam na kufanikiwa kumuweka Dude lakini Dude huyohuyo akalewa sifa na kutaka kumgeuka ambapo alienda Televisheni ya Taifa (TBC) na kudai apewe mkataba mpya bila Mrisho kujua. Alikataliwa, je unajua kilichoendelea?Songa nayo sasa... “TBC wakaendelea kumgomea Dude kwamba hawawezi kuukatisha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: AANZISHA BONGO DAR ES SALAAM, DUDE ATAKA KUMGEUKA!

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipopata wazo la kutengeneza kipindi cha utapeli kwenye TV ambapo alifanikiwa kurekodi na kukubaliwa kukirusha katika Televisheni ya Taifa (TBC), baada ya hapo akaanza rasmi kutafuta nani awe mhusika mkuu. Songa nayo sasa... “Nikaenda moja kwa moja kwenye kikundi cha kuigiza kiitwacho, Splendid kipo Ilala, nikakutana na wasanii wengi...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: MANJI AMUOMBA KUGOMBEA UBUNGE, AMTOSA

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale alipoanika baadhi ya mali zake na pia akaelezea kwa kina kuhusiana na shamba alilolitenga la ekari 35 kwa ajili ya kusaidia vijana kimuziki. Songa nayo sasa... Kwa nini Mrisho huwa hupendi kumwanika mkeo?
(anacheka, anatikisa kichwa...) “Kikubwa ni kwamba mke wangu ni mtu ambaye tunafahamiana sana tangu kitambo (sijawa na jina) alikuwa na...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: ATENGA SHAMBA EKARI 35, KUSAIDIA VIJANA KIMUZIKI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoelezea safari ya mwisho ya mama yake mzazi (marehemu), maneno aliyomwambia kuhusiana na maisha na ndicho kitu anachojivunia hadi sasa. Lakini pia Mrisho alikuwa amegusia kidogo walivyofungua kampuni na mwenzake lakini wakaishia kupelekana mahakamani na hatimaye wakagawana mali na hapo ndipo alipoanzisha kampuni nyingine ya Mpoto Gallery...

 

9 years ago

GPL

MJUE MRISHO MPOTO -2

ATUA DAR, AOKOTA KUNI, VIFUU NA KUVIUZA MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale upande wa baba yake alipomwambia mkewe ampeleke mtoto porini hadi atakapofariki dunia kisha arudi kwa sababu tu alizaliwa akiwa na alama ya ajabu shingoni. Songa nayo mwenyewe... “Kwa kuwa baada ya mama kunizaa alisema hatazaa tena, kitendo cha kuambiwa anipeleke porini nikafie huko nifukiwe kilimfanya...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: APATA UMAARUFU, ARUDI SONGEA

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipowasili nchini akitokea Marekani ambapo alikutana na Irene Sanga na kuandika mashairi na kukubalika na jina la Mjomba likatokea. Baada ya hapo alipata shoo nyingi lakini kuna jambo lilimtokea.Tambaa nayo mwenyewe... “Jambo kubwa la kwanza ni kwamba baada ya kupata shoo nyingi, nikaanza kuwa maarufu, naitwa na kufanya mahojiano mengi...

 

11 years ago

Michuzi

Kabaka atembelea sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.  Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto, (Katikati), akionyesha kadi mpya ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuuwa Mfuko huo, Sdam Mayingu, (R), kwenye maqonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

MRISHO MPOTO AZIDI KUPASUA ANGA NA MJOMBA BAND

 Baada ya "kutoka" kwa wimbo na mashairi ya 'Mjomba' msanii malenga Mrisho Mpoto ameendelea kupata mafanikio siku hadi siku kwa kuweza sasa kumiliki bandi yake aliyoipa jina la Mjomba Band, akiajiri vijana zaidi ya 10 na kuendeleza libeneke kwa nguvu zake zote. Aghalabu Mpoto na bendi yake utakuta wamealikwa katika shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kutoa burudani. Hakika yeye ni mfano wa kuigwa. pichani  Mpoto akiwa na bendi yake jukwaani.  Mrisho Mpoto akighani mashairi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani