Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMULIZI YA MPOTO: AANZISHA BONGO DAR ES SALAAM, DUDE ATAKA KUMGEUKA!

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipopata wazo la kutengeneza kipindi cha utapeli kwenye TV ambapo alifanikiwa kurekodi na kukubaliwa kukirusha katika Televisheni ya Taifa (TBC), baada ya hapo akaanza rasmi kutafuta nani awe mhusika mkuu. Songa nayo sasa... “Nikaenda moja kwa moja kwenye kikundi cha kuigiza kiitwacho, Splendid kipo Ilala, nikakutana na wasanii wengi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: AANZISHA KAMPUNI, APELEKWA MAHAKAMANI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoamua kuanzisha Kipindi cha Bongo Dar es Salaam na kufanikiwa kumuweka Dude lakini Dude huyohuyo akalewa sifa na kutaka kumgeuka ambapo alienda Televisheni ya Taifa (TBC) na kudai apewe mkataba mpya bila Mrisho kujua. Alikataliwa, je unajua kilichoendelea?Songa nayo sasa... “TBC wakaendelea kumgomea Dude kwamba hawawezi kuukatisha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!

Kipindi  cha mchezo wa maigizo cha  Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa  zaidi ya miaka mitatu.

Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja  muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.

Bila shaka wengi...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: APATA UMAARUFU, ARUDI SONGEA

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipowasili nchini akitokea Marekani ambapo alikutana na Irene Sanga na kuandika mashairi na kukubalika na jina la Mjomba likatokea. Baada ya hapo alipata shoo nyingi lakini kuna jambo lilimtokea.Tambaa nayo mwenyewe... “Jambo kubwa la kwanza ni kwamba baada ya kupata shoo nyingi, nikaanza kuwa maarufu, naitwa na kufanya mahojiano mengi...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: ATUMIWA PESA NA WAZUNGU KUJIFUNZA KIINGEREZA, AZILA

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto tuliishia mwaka 2001 alipofanyiwa mpango wa kwenda Marekani kushiriki projekti ya One Hand, Fingers ambayo ilikuwa ikihusisha nchi nyingine kama Kenya, Uganda, Tanzania, Marekani na Poland. Safari yake imekuwaje?Tambaa nayo mwenyewe... “Nikaenda na kufikia sehemu moja Marekani inaitwa Baltimore, Maryland katika Chuo Kikuu cha Towson. Nikakaa pale kama...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: MKEWE AJIFUNGUA, ASHINDWA KUMPA JINA MTOTO

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipofunga harusi ya ajabu ambapo keki ilikuwa boga na dafu ikawa ndiyo shampeni. Katika harusi hiyo pia MC alikuwa Mrisho mwenyewe na wenzake tisa na pia tulielezea pale mwisho wa harusi hiyo alipomaliza alifunga mlango na kurudisha ufunguo kwa wahusika waliompa ukumbi.Tambaa nayo mwenyewe... “Baada ya kuoa, nikakaa fungate kwa siku kadhaa ambapo...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: MANJI AMUOMBA KUGOMBEA UBUNGE, AMTOSA

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale alipoanika baadhi ya mali zake na pia akaelezea kwa kina kuhusiana na shamba alilolitenga la ekari 35 kwa ajili ya kusaidia vijana kimuziki. Songa nayo sasa... Kwa nini Mrisho huwa hupendi kumwanika mkeo?
(anacheka, anatikisa kichwa...) “Kikubwa ni kwamba mke wangu ni mtu ambaye tunafahamiana sana tangu kitambo (sijawa na jina) alikuwa na...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: AFANYA HARUSI YA AJABU, KEKI BOGA, SHAMPENI DAFU

MPENZI msomaji wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipopata shavu la kwenda nchi nyingi kama vile Marekani, Sweden, Norway, Scotland na sasa amefikia chuo cha Marketing Theatre.Tambaa nayo mwenyewe... “Hicho chuo kilikuwa ni moja kati ya vyuo vikuu vya sanaa pale Johannesburg, Afrika Kusini ambapo nilipofikia hapo nilianza kujifunza jinsi ya kutohoa na kughani, jinsi ya kuzingatia vitu gani...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: BABA AMLILIA, AFUTA MACHOZI NA KUCHANGANYA NA MAJI, AKAMWAGIWA!

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipowasiliana na baba yake kwa njia ya simu na kumtaka kwenda kumchukua Songea kwa kuwa hali yake kimaisha haikuwa nzuri. Alikubaliwa na mama yake na alipofika Songea kuna kitu kiliendelea. “Baba aliponiona tu kwa mara ya kwanza tangu aniache mdogo alilila sana. Alitoka machozi ya mtu mzima, akayakinga na kuchanganya na maji kisha...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: ATENGA SHAMBA EKARI 35, KUSAIDIA VIJANA KIMUZIKI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoelezea safari ya mwisho ya mama yake mzazi (marehemu), maneno aliyomwambia kuhusiana na maisha na ndicho kitu anachojivunia hadi sasa. Lakini pia Mrisho alikuwa amegusia kidogo walivyofungua kampuni na mwenzake lakini wakaishia kupelekana mahakamani na hatimaye wakagawana mali na hapo ndipo alipoanzisha kampuni nyingine ya Mpoto Gallery...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani