Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bongo Dar-Es-Salaam ya Dude Kurudi Tena Hivi Karibuni!!

Kipindi  cha mchezo wa maigizo cha  Bongo Dar es Salaam kilichojizolea mashabiki na watazamaji wengi kinalejea tena hivi karibuni baada ya kusimama kwa  zaidi ya miaka mitatu.

Mwigizaji Kulwa Kikumba “Dude” ambae ni muigizaji mkuu na mmiliki wa kipindi hicho amewadokeza mashabiki wake mtandaono na kuwa kipindi kitakuwa hewani hivi karibuni na kuweka baadhi ya picha akiwa lokesheni wakifanya kazi huku akimtaja  muigizaji Haji Adam kuwa ni moja ya staa atakaefanya nae kazi.

Bila shaka wengi...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: AANZISHA BONGO DAR ES SALAAM, DUDE ATAKA KUMGEUKA!

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipopata wazo la kutengeneza kipindi cha utapeli kwenye TV ambapo alifanikiwa kurekodi na kukubaliwa kukirusha katika Televisheni ya Taifa (TBC), baada ya hapo akaanza rasmi kutafuta nani awe mhusika mkuu. Songa nayo sasa... “Nikaenda moja kwa moja kwenye kikundi cha kuigiza kiitwacho, Splendid kipo Ilala, nikakutana na wasanii wengi...

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MASHINDANO YA POLISI JAMII KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - KAMISHNA KOVA CUP KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI

JESHI  la Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatarajia kuzindua mashindano ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuwashirikisha wananchi  wa  rika zote  na  itikadi  mbalimbali yatakayojulikana“KAMISHNA KOVA CUP”.
 Madhumini ya mashindano haya ni  ni  Kuwaunganisha wananchi wenye itikadi mbalimbali ili kupitia mashindano  haya  watakaoshiriki  watajifunza  masuala  ya usalama, uzalendo  na kuzingatia utaifa kwa madhumuni ya kuwashirikisha kikamilifu katika ulinzi wa nchi na kudumisha amani ...

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE SIRUDI BONGO HIVI KARIBUNI!

Stori: Imelda Mtema
MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana. Staa wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu vyake vinamuendea sawa...

 

10 years ago

Mwananchi

MV Dar es Salaam yaanza majaribio, yaenda bagamoyo na kurudi Dar

Waziri wa Ujenzi Dk, John Magufuli leo amewaongoza wananchi wa jiji la Dar es Salaam kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo.

 

10 years ago

GPL

MMOJA WA VIJANA WALIONASWA KWA UJAMBAZI DAR ALIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE HIVI KARIBUNI

Mmoja wa vijana walionaswa kwa ujambazi jana akiwa na msichana anayedaiwa kumvisha pete hivi karibuni. Vijana wanne walionaswa katika tukio la ujambazi jana. Wa pili kulia ndiye anayedaiwa kumvisha pete mchumba wake hivi karibuni. Vijana hao wakiwa chini ya ulinzi baada ya…

 

10 years ago

Michuzi

Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na

 Immaculate Makilika –MAELEZO_DAR ES SALAAM WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea.  Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na Bunge la Katiba Mpya linaloendelea mjini Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Wazee wenzake Kepteni Mstaafu Alhaji Mohamedi Ligora , amesema kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

uhaba wa maji ya uhakika dar es salaam kuwa historia karibuni

Tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji ya uhakika linalowakabili wakaazi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mengine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini sasa litakuwa historia...  Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani