Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA MASHINDANO YA POLISI JAMII KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM - KAMISHNA KOVA CUP KUZINDULIWA HIVI KARIBUNI

JESHI  la Polisi  Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatarajia kuzindua mashindano ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuwashirikisha wananchi  wa  rika zote  na  itikadi  mbalimbali yatakayojulikana“KAMISHNA KOVA CUP”.
 Madhumini ya mashindano haya ni  ni  Kuwaunganisha wananchi wenye itikadi mbalimbali ili kupitia mashindano  haya  watakaoshiriki  watajifunza  masuala  ya usalama, uzalendo  na kuzingatia utaifa kwa madhumuni ya kuwashirikisha kikamilifu katika ulinzi wa nchi na kudumisha amani ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanza kumhoji Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima baada ya kujisalimisha kama alivyotakiwa kufanya hivyo na Kamishana wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LINATOA TAHADHARI WAKATI WA UCHAGUZI WA MARUDIO, SERIKALI ZA MITAA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa wakati wa zoezi la marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 21/12/2014 katika baadhi ya vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam.
Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo...

 

5 years ago

Michuzi

UCHUNGUZI WA AWALI WA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WABAINI MWILI WA MANGULA UMEKUTWA NA SUMU


Na Said Mwisehe,Michuzi Blogu ya jamii

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  Lazaro Mambosasa amesema jeshi hilo limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bara Philip Mangulla mwili wake umekutwa na sumu.

Akizungumza leo Machi 9,2020 jijini Dar es Salaam ,Kamanda Mambosasa amewaambia waandishi wa habari kuwa jeshi  la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja taasisi nyingine lomebaini kuwa mzee Mangulla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani